Mapenzi bila tendo la ndoa inakuwaje??

well, ningetamani kujua life style yao, huwa wanakaa kila mtu kivyake au na wazazi? wanakazi? wanatoka out kidogo siku moja moja moja?, kama jibu ya hayo maswali ni ndio, then there is no true live, simaanish true love ni mapenzi ila kwa mtu ambae mna uhusiano wa miaka mitati, mko free na mna kipato, what else?? huyo bro aangalie, lazima atakuwa na marafiki wema wanaomsaidia kazi!!!! , na huyo dada anajiamini sana maana mahusiano ya sasa yanavyovunjika ovyo akama outbreak ya swine fluu.

Hapo hapendwi mtu, jamaa achape lapa tu! angekuwa anamfeel jamaa miaka mitatu yote angeshamuonjesha tunda otherwise anamuibia tu, yani wizi mtupu.
 
jamani mi sina maoni mengi kivileeeeee, ila ningeomba huyo mkuu aende nyumbani akiwa ametulia kwa umakini wa hali ya juu asikilize wimbo wa Banana unaitwa ZOBA atapata majibu mazuri.
 
Kisanga cha ukweli
rafiki yangu tunasotea nae hapa alikuwa na ka binti karembo ,kapole na ka haja wamekaa nako takribani 4 years
lakini binti alimwambia mchumba wake yeye bado bikira kwa hivyo hawezi kutoa tundi na akahidi atampa zawadi pale tu wakifunga ndoa
jamaa akaamini na akawa anatutambia my wife to be ni mwali jamani yetu macho na masikio
siku zikaenda na kurudi binti akaanza kuumwa sana dalili za ujauzito ..samaki wabichi siwataki tena ,nataka senene kuwapata kasheshe
jamaa kashituka akamuomba wakapime jibu likawa ana mimba jamaa ya miezi 3 alichanganyikiwa vya kutosha ,jamaa akasamee yote na akamuomba binti watoe hiyo Preg ili waendelee na mipango ya harusi binti akasema ng'o basi nitakuoa hivyo hivyo binti akagoma eti anajiliza na kudai ni aibu ......X

...Huyo mwingine nae asijekuwa anauziwa mbuzi kwenye gunia
 
Hapo hapendwi mtu, jamaa achape lapa tu! angekuwa anamfeel jamaa miaka mitatu yote angeshamuonjesha tunda otherwise anamuibia tu, yani wizi mtupu.

Mbona mimi na ZD wangu tuna miaka 7 tunapendana bila kuonjeshana? Naibiwa au? LOL!
 
sana...baya ama zuri kakangu anasema kila siku amekuwa akililia tunda bila mafanikio mpaka akasema akipata mtoto lazima amwite tunda...

Dah ebwanee kaka ako hapo anaibiwa tu mwambie achape mwendo hapo huyu she ana jamaa mwingine ndo anajimegea na usikute ndo wamepanga mambo makubwa mbeleni bila kaka ako kujua vile vile naweza sema kaka ako ni Bushoke zezeta flani hivi kamfia sana demu huyo ndo maana anampa mistari kibao ya kumlainisha.
 
Hahaha! Mpwa umekonkludi kimtindo. Hivi kumfia mtu inakufanya uwe *****? Mi ndio maana huwa najiangaikia na mabaamedi wangu!
 
Hahahaha unajua ndo madhara ya kumependa mtu kupitiliza hilo jamaa linaweza kukaa hata miaka 10 wkt binti wahuni wanajichapia pembeni yeye anabaki kuchafua mashuka usiku.
 
Kisanga cha ukweli
rafiki yangu tunasotea nae hapa alikuwa na ka binti karembo ,kapole na ka haja wamekaa nako takribani 4 years
lakini binti alimwambia mchumba wake yeye bado bikira kwa hivyo hawezi kutoa tundi na akahidi atampa zawadi pale tu wakifunga ndoa
jamaa akaamini na akawa anatutambia my wife to be ni mwali jamani yetu macho na masikio
siku zikaenda na kurudi binti akaanza kuumwa sana dalili za ujauzito ..samaki wabichi siwataki tena ,nataka senene kuwapata kasheshe
jamaa kashituka akamuomba wakapime jibu likawa ana mimba jamaa ya miezi 3 alichanganyikiwa vya kutosha ,jamaa akasamee yote na akamuomba binti watoe hiyo Preg ili waendelee na mipango ya harusi binti akasema ng'o basi nitakuoa hivyo hivyo binti akagoma eti anajiliza na kudai ni aibu ......X

...Huyo mwingine nae asijekuwa anauziwa mbuzi kwenye gunia

Hii ndio hali halisi, haya ya kusema tusubiri huwa hayana mashiko... unaua spontaneity, unaleta usually, principally, normally halafu hata ndopa yenyewe inakuwa very dry with too many principles to an extent hata mapenzi yanachuja

Huyo jamaa ni bora ajiangalie upya... kuna mwimbo wa banana unaitwa zoba, umebeba ujumbe tosha!!
 
Kwanza kabisa nawapongeza kwa kukaa muda wote huo bila kuzini. Jamani tusiharalishe kuzini kabla ya ndoa kama ni lazima kwa wadhambi na warafi ni ngumu sana lakini kwa wenye misimamo inawezekana. Kwani mapenzi lazima sex? Kuna mambp mengine yanayotoshereza. Au ndo mapenzi na furaha ya maskini?

Si kuzini.....unazidi pale tu unapotoka nje ya ndoa....tafuta neno lingine labda kungonoa kama vijana wanavyosema....
 
Kuvumilia ni muhimu jamani nshwai kaa ten years kwenye mahusiano bila kumega.
Uyo binti aache uzushi unless kama yeye ni bikra but otherwise atoe tunda kwa mwenzie.
 
Hii ndio hali halisi, haya ya kusema tusubiri huwa hayana mashiko... unaua spontaneity, unaleta usually, principally, normally halafu hata ndopa yenyewe inakuwa very dry with too many principles to an extent hata mapenzi yanachuja

Huyo jamaa ni bora ajiangalie upya... kuna mwimbo wa banana unaitwa zoba, umebeba ujumbe tosha!!

kweli MTN hapa utajikuta unaimba subira yangu ndio iloniponza ngoja ngoja naonekana zoba eti kwa sababu nilimpenda sana ...kwa sababu nilimpenda kweli
hahahaha mawazo mawazo tetehe
 
Huyo Atauziwa mbuzi kwenye Gunia shauri yake

LAZIMA KUMCHECK huyo binti kwanza ili uweze kujua Je naniiiiiiiiiiiiiiiiii ipo au haipo.......

Unaweza kuoa haya manafika ndani kumbe mwenzako hana naniiiiiiiiii
 
Kuvumilia ni muhimu jamani nshwai kaa ten years kwenye mahusiano bila kumega.
Then, what did you get there so special?
Ulikuta rutuba imeongezeka?
Ulipewa zawadi?
Ulikuta bikira?
Ulikuta mbivu?
Ulikuta ladha ya chungwa, papai, limao, kachumbari, chenza, tikitimaji, au chili sauce?
Ulikuta uwanja wa nyasi bandia au za asili?
Tell me ulikuta nini ili na mimi nijfue kusubiri ten yeaaars
 
unaweza kukuta demu hana nanihii
 
Mambo ya kusubiri mpaka kwenye honeymoon huyo binti asije akalalamika akikuta jamaa kidudu chake kina saizi bamia.....(kibamia)
 
Acheni masihara nyie, binti hata kama ni mzuri namna gani, lazima UGONGE kwanza ujue kuna nini KUNAKO! Kama hatak atambae tu. Mchumba wangu wa kwanza alikuwa MZURI, we acha tu, akawa analeta machejo pozi nyiingi hataki KUGONGWA mpaka kieleweke, nikamwambia kama sionji hamna ndoa wala ndoano! akakubali kutoa mchezo......kabinti cha watu ishu imegusa kichwa tu kelele balaa...! ilipozama kumbe bwawa lenyewe hata punda anaweza kupiga mbizi! marinda yote yalishafutwa kitambo!! WACHA nitoke baru nikaoe demu wangu wa shuleni!!! teh teh! Mpaka leo bado iko taiti! KUCHEKI UJAZO MUHIMU
 
Huyo Atauziwa mbuzi kwenye Gunia shauri yake

LAZIMA KUMCHECK huyo binti kwanza ili uweze kujua Je naniiiiiiiiiiiiiiiiii ipo au haipo.......

Unaweza kuoa haya manafika ndani kumbe mwenzako hana naniiiiiiiiii
ha haaaaaaaa, kaka mjini hapa, siku hizi hata bikra za kuchonga zipo, anagalia utaibiwa wewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom