Mapenzi bana

nami nashangaa namshauri aende kanisani aau msikitini atapewa maelekezo mazuri ya kumpata mke mwema
 
Hahaha nimeipenda iyo mana watu wanakurupuka 2 mala 2me kutana kwa Facebook mala Eskimi
 
Eti jamani ni kweli mchumba anatafutwa kwa mitandao kama huu

Kwanza kuna ajabu gani? Mbona wengine wamepata humuhumu? Hata na wewe jaribu kutupa ndoano yako waweza kumpata mchu..... wako hapa jf! Humu kuna watu wa jinsia zote mbili wake kwa waume hivyo mimi sioni ajabu yoyote!
 
Kuna watu sijui mnaishi dunia gani!...Wengine tuna mifano mingi mno ya vitu hivi, hadi nashangaa swali.

Sifa za mchumba wa kwenye mtandao(kama mambo ya tabia na sura yataachwa as constant) ni kama ifuatavyo!

1. At least anajua kutumia kompyuta!
2.Ana ujasiri na uelewa wa mambo, na anaweza kujibishana na watu wa kwenye 'virtual world'.
3.Anapenda interaction na watu mbalimbali!
 
​tatizo lio wapi...................hebu ingia kunako jukwaa husika nshatoa tangazo kule na mimi.
 
Kuna msemo unasema"PENZI ****** YA KICHAA,HAYACHAGUI PA KUKAA"!Kwa hiyo hata ndani ya jamvi humu mapenzi ya ukweli yanaweza kuzaliwa na yakakua vizuri tu!
 
Mapenzi ni kokote, wapo waliofanikiwa humu humu na wengine kwenye mitandao kama face book nk. Ila kama wewe unatafuta omba Mungu, utakutana naye kokote si lazima iwe humu.
 
ndiyo, unaweza kumtafuta mchumba humu lakini wengi wanapenda kuoana kwenye keyboard, kuonana ni No!
haaaaaaaa haaaaaaa haaaaa.nimecheka kweli.mbona mambo ya key board mazuri tu.unakuwa dunia nyengine kabisa
 
Hahahaha mchumba hapatikani kwa mtandao bana wote wanakuaga wezi thn ni wa mda mfupi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom