Mapenzi + $= ¿

Imani ktk mapenzi haizizingatiwi.

Hamna Amani katika mapenzi. Bora pochi tu!!!!!!!! Siku hizi wanaume wanawapenda wanawake wenye pesa na wanawake wanawapenda wanaume wenye pesa. Kidogo afadhali sisi kizazi cha S.L.P. kizazi cha dot com. nawaonea huruma. Mimi namwomba Mungu niendelee kupendana na baba D wangu mpaka kifo kitutenganishe.
 
Back
Top Bottom