mapenz ya kweli ni pale......

ngararumo

Senior Member
Oct 17, 2011
173
43
mapenzi ya kweli ni pale mke hana wivu kwa mumewe na mume hana wivu kwa mkewe......je we unaonaje mapenzi ya kweli ni pale inapokuaje?
 
Mapenzi yana tafsiri nyingi na kila mmoja ana yake na wote wako sawa maana ndio mitazamo na imani yao juu ya ilo.
 
Mapenzi yana tafsiri nyingi na kila mmoja ana yake na wote wako sawa maana ndio mitazamo na imani yao juu ya ilo.

Ndio kila mmoja ana imani na mitazamo tofauti towards mapenzi lakini all in all ni mapenzi.....sasa mimi nataka hiyo mitazamo na imani tofauti ya mapenzi
 
Ndio kila mmoja ana imani na mitazamo tofauti towards mapenzi lakini all in all ni mapenzi.....sasa mimi nataka hiyo mitazamo na imani tofauti ya mapenzi

Mapenzi yapo selfless, kwamba waweza kua na hisia chanya kali na kuweza fanya lolote lile juu ya mwanadamu mwenzio regardless yupo in the rite or wrong.
 
Mapenzi bila wivu hayaendi. kama unampenda mwenzio kwa dhati wivu lazima uwepo. Na haujilazimishi kuwa na wivu, unakuja wenyewe automatically
 
Mapenzi bila wivu hayaendi. kama unampenda mwenzio kwa dhati wivu lazima uwepo. Na haujilazimishi kuwa na wivu, unakuja wenyewe automatically

Hapo kwenye wivu sasa ndo watu wanapokunywa sumu,wanapojinyonga nakadhalika.....mapenzi ya kweli mimi naona yale yasiokuwa na wivu kwa sababu wivu unaweza kukusababisha ukimdhan mpenzio vinginevyo na hivyo kukorofishana
 
Ni pale anapokuwa wazi kwangu ktk kila jambo;hata kama ni game anatakiwa aniambie siyo kuwa kila siku niseme mimi tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom