Mapema leo..

Pure Mathematics

Senior Member
Mar 8, 2012
174
52
Wajameni nimemfumania dem wa jamaa yangu leo mapema yupo na njemba gest ambayo nami nilikua navinjari manzi flan wa kitaa. Ni bahati mbaya kwa huyo dem manake hakua anajua kama nami ningekua pale gest. Kwa kujistukia ameniandikia sms akiniomba nisiseme kwa jamaa nilichoshuhudia, na ameniahidi atanipa chochote endapo ntapiga kimya. Mnanishauri vipi wajamen..
 
Kama ni mke wa mtu wachana naye.

Kama ni gf wajamaa mwambie akupe cha chap chap.

Afu viuno vya kulipwa ili unyamaze usiende kutoa siri, huwa vitamu aisay we wacha tu :violin:
 
mwambie tu ajiheshim na aheshim mahusiano yke.leo umemwona ww kesho atakutwa na njemba wke itakua noma..
 
Hawa wanakushauri vibaya kwani na wewe ukijapata bahati mbaya rafiki yako akakukuta sijui utajitetea vipi.

Pia ogopa ukimwi kijana usije juta baadae.
 
Wajameni nimemfumania dem wa jamaa yangu leo mapema yupo na njemba gest ambayo nami nilikua navinjari manzi flan wa kitaa. Ni bahati mbaya kwa huyo dem manake hakua anajua kama nami ningekua pale gest. Kwa kujistukia ameniandikia sms akiniomba nisiseme kwa jamaa nilichoshuhudia, na ameniahidi atanipa chochote endapo ntapiga kimya. Mnanishauri vipi wajamen..

nahisi unachotaka kukiomba lakini kuwa makini mkuu..
 
Mmmh hiyo rushwa ya ngono yaweza kukuletea pepo la ngono na hamu yake haitakwisha maana itakuwa kila ukijisikia unampigia demu, huku ukimwambia utamwambia jamaa so inabidi akupe tena na tena na tena.

Mimi naona achana nae tu atakuona wa maana na waache wadili wenyewe just muonye. Ikiwa ataendelea na hako kamchezo mtonye jamaa yako na pia habari ya rushwa ya ngono.
 
Mkuu kama jamaa ni rafiki wako wa ukweli Plz mwambie rafiki yako issue yote iwe fundisho kwa machangu wengine, nk.
 
ulafiki wakweli ndio huo acha kuficha. je ingekuwa ni wewe imekula kwako alafu angekaa kimyaa ingekuwa sawa?. acha kulea machafu tunatakiwa kuwa waminifu mkuu kumbuka uyo ni rafiki yako waukweli pasua jipuuu hiloooo.
 
icho kichangu kimezoe ni kawaida yake kuchapwachapwa hovyo just why kamekuaidi kukupa shimo nawe uchape. changu huyoooooo.
 
Mwanaume hatakiwi kua mmbea bana!we piga zako kimya kama ndo tabia yake ipo cku atakutwa live na huyo bwana ake!
 
Back
Top Bottom