Mapedeshee na shughuli zao.

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,864
155,820
HAWA JAMAA WANAOJIITA MAPEDESHEE WENGI NI MATAPELI, MAJAMBAZI NA WEZI.
KIPATO CHAO SI CHA HALALI.
PAPAA MUSOFE NI MWIZI NA TAPELI WA KIMATAIFA
https://www.jamiiforums.com/celebri...dama-mtoto-wa-ngombe-anyakwa-na-polisi-2.html

NDAMA MTOTO WA NG'OMBE NI JAMBAZI NA AMESHAWAHI KUKAMATWA NA MKONO WA ALBINO, LAKINI AKAACHIWA KWENYE MAZIBGIRA YA KUTATANISHA.
S:K ENTERTAINMENT: NYEPESI NYEPESI ZA NDAMA MTOTO WA NGOMBE NA KIZAIZAI

S:K ENTERTAINMENT: NYEPESI NYEPESI ZA NDAMA MTOTO WA NGOMBE NA KIZAIZAI

PIA FIKIRI MADINDA ALITELEKEZA AJIRA YAKE BAADA YA KUFANIKIWA KUWATOROKA POLISI WALIOMKAMATA AKIFANYA UJAMBAZI.
KAJICHIMBIA HADI LEO HAJULIKANI ALIPO NA ANATAFUTWA NA POLISI
Fikiri Madinda kizimbani Morogoro
TUJIHADHARI SANA TUNAPOFANYA BIASHARA YOYOTE NA WATU HAWA NI HATARI KWA USALAMA WETU NA MALI ZETU
 
Pedeshee ni corrupt word for PDG yaani President & Director General....huko Congo huu ni wadhiwa wa wakuu wa taasisi za umma ambao hughaniwa sana na wanamuziki wa huko...wameileta huku kwetu na sisi kwa kuiga ndio hivyo tena
 
kweli jamani hawa wanaolipia hela nyingi ili majina yao yatajwe na wanamuziki ni kero hapa mjini.
umalaya wao, u machi noo wao, kuringa wao, ujambazi wao, du!!!!
 
Back
Top Bottom