Mapapai

Yaani vyuoni ndo usipime!!! Mabinti toka mikoani wakifika chuo kama mlimani ni mwez mmoja tu wametupa viwalo vya heshima wanaanza kupiga "jeki" manyonyo yaan si hilo tu siku hzi vibana misuli vinavaliwa mchana kweupe juu ya kigauni kifupi kama nin vile..yote wanavutia wanaume ingekuwa mtu anavaa hata mluzi apigiwi wiki moja tu adabu ishamjia sasa bahati mbaya si wanaume tu WAROHO unashangaa papai kupigwa jeki kumbe asipoweka jeki ni kandambili ya Umoja? Wanawake shukuruni Mchina kawasaidia sana kuwapoteza
 
itakubidi uzohee ndio mambo ya dunia ya sasa

Jamaa haelewiki anataka nini hapa Duniani,
Yaani yeye haoni kabisa mabango ya NGUVU ZA KIUME yaliyozagaa kila kona ya nchi yetu na hata kwenye tovuti mbalimbali!
Wanawake wameamua kuwarahisishia wanaume ambao kwa sasa asilimia kubwa nguvu hatuna kwa pitia kuona maumbile yao njiani inatosha kabisa kuamsha hisia, Kumbuka Miaka ya nyuma kulivyokuwa na mifadhaiko kwenye daladala kwenye foleni ya bank na sehemu nyingine nyingi yenye mkusanyiko. wakati ule wanaume walikuwa na nguvu za kiume lakini sio sasa, ndo maana wanawake wameamua kutembea nusu uchi ili kuamsha hisia za waume zao.
 
Yaani vyuoni ndo usipime!!! Mabinti toka mikoani wakifika chuo kama mlimani ni mwez mmoja tu wametupa viwalo vya heshima wanaanza kupiga "jeki" manyonyo yaan si hilo tu siku hzi vibana misuli vinavaliwa mchana kweupe juu ya kigauni kifupi kama nin vile..yote wanavutia wanaume ingekuwa mtu anavaa hata mluzi apigiwi wiki moja tu adabu ishamjia sasa bahati mbaya si wanaume tu WAROHO unashangaa papai kupigwa jeki kumbe asipoweka jeki ni kandambili ya Umoja? Wanawake shukuruni Mchina kawasaidia sana kuwapoteza

Daa... mkuu hapo kwenye Nyekundu, nimecheka sana leo... ha ha haaaaa.
 
Yani mpaka walio kwenye ndoa wanapandisha juu manyonyo na "unaachiwa uyaone kiasi" we dada umeolewa unanyonyesha mtoto usikute bado tu ukawaanikie wanaume wa nje?
NOTE: Angalizo enyi akina dada wa dot.com wapandisha manyonyo na kupaka dawa za kichina kwenye Hips na buttocks hampendezi kama wale walio katika asili yao na wanavaa shwari
 
kama kweli ni mabo ya kisasa mtaishia kutembea bila hata mdanga,maana hao mnaowaiga wamefikia hapo

Lakini mnajua tulipotoka??
yaani hayo matitit nusu ndio tunakiuka mila zetu ,tunastahili kurudia vibwaya vyetu vya zamani na mattiti nje,maana huku ni nchi za joto.
Watu wakisemaga tuvae kulingana na utamaduni huwa sielewi wanajua hali halisi ya mavazi yetu ya asili
 
Hiv wanavyodai wanaenda na wakati, Hawajiuliz huowakat unakowapeleka? Ukilinganisha na ulikowatoa?

Actually hapa tulipo ndio tunaelekea kwenye utamaduni wetu halisi,haya mambo ya manguo ya kujiziba ni ya kizungu,wazee wetu walikuwa na akili sana walikuwa wanavaa kutokana na hali halisi ya hewa ya joto
Ndio maana hadi leo ukiingia uzalamoni ni mambo ya kanga moja tu tena nyepesi na hakuna kushangaana
 
Yani mpaka walio kwenye ndoa wanapandisha juu manyonyo na "unaachiwa uyaone kiasi" we dada umeolewa unanyonyesha mtoto usikute bado tu ukawaanikie wanaume wa nje?
NOTE: Angalizo enyi akina dada wa dot.com wapandisha manyonyo na kupaka dawa za kichina kwenye Hips na buttocks hampendezi kama wale walio katika asili yao na wanavaa shwari

Mkuu inatosha umemeliza kila kitu/
 
Yaani vyuoni ndo usipime!!! Mabinti toka mikoani wakifika chuo kama mlimani ni mwez mmoja tu wametupa viwalo vya heshima wanaanza kupiga "jeki" manyonyo yaan si hilo tu siku hzi vibana misuli vinavaliwa mchana kweupe juu ya kigauni kifupi kama nin vile..yote wanavutia wanaume ingekuwa mtu anavaa hata mluzi apigiwi wiki moja tu adabu ishamjia sasa bahati mbaya si wanaume tu WAROHO unashangaa papai kupigwa jeki kumbe asipoweka jeki ni kandambili ya Umoja? Wanawake shukuruni Mchina kawasaidia sana kuwapoteza

Hapo sawa kabisa mabinti wengi wakitoka mikoani wanavaa vizuri sana,ngoja akae mjini wiki moja tu,aibu na cha ajabu anaona kavaa sawa tu.
 
Yaani vyuoni ndo usipime!!! Mabinti toka mikoani wakifika chuo kama mlimani ni mwez mmoja tu wametupa viwalo vya heshima wanaanza kupiga "jeki" manyonyo yaan si hilo tu siku hzi vibana misuli vinavaliwa mchana kweupe juu ya kigauni kifupi kama nin vile..yote wanavutia wanaume ingekuwa mtu anavaa hata mluzi apigiwi wiki moja tu adabu ishamjia sasa bahati mbaya si wanaume tu WAROHO unashangaa papai kupigwa jeki kumbe asipoweka jeki ni kandambili ya Umoja? Wanawake shukuruni Mchina kawasaidia sana kuwapoteza

wapi wewe acha hzo unajifanya unaponda kumbe we mwenyewe ndo mshangaaji wa kwanza zama hizi tofauti na za mababu zetu so najua we mwenyewe ni wale wale mnaovaa kata ***** je nanyie hayo ****** yenu mnamtega nani? Km vp 2potezeane.
 
Ni vivutio vya utalii!

Tena utalii wenyewe wa ndani....., lkn ndo safi. siku watatembea vifua wazi..., hapo ndipo tutakapojua kweli WANA BEIJING, Wakiwezeshwa WANAWEZA.

Halafu siku hz wana tabia ya kuvaa vest za kiume(singlend) na kutembea bazo freeely njiani...., Hii dunia kwa ss, Tuwaachie wenyeweee wanaoenda na wakati....!
 
Back
Top Bottom