Mapambano/ Mashambulizi Dhidi ya Viongozi vijana CDM: Saa na Ukombozi Iko Mlangoni

Magamba hawawezi kumrubuni kijana yoyote yule anajitambua,wanatafuta kila support kutoka kwa vijana lakini hawaipati,utaipendaje serikari legelege na dhaifu ya CCM ambayo haiwezi kuajiri hata watu kumi! Mnyika we love you be strong we are with you brother!
 
Kimmsingi Nape anatakiwa aje CHADEMA. Ni kweli, vijana wa CCM wameshindwa kuleta mabadiliko zaidi ya kugawana wengine kwa SITA wengine kwa EL
 
Back
Top Bottom