Truth be told, alichofanya lusekelo ni sahihi kabisa, kuna wengine wanadiriki kusema wataamrisha waumini wao waigomee serikali yao hadi mapendekezo ya upinzani yakubaliwe. hii ni sawa na jamaa mmoja huwa anachangia sana ujenzi wa makanisa, lakini hajasikika akichangia hata yunifomu za watoto walioathiriwa na mafuriko desemba, watu wapo kimaslahi zaidi bila kuangalia utu