Mapacha: Mmoja mweusi tii na mwenzie mweupe haswaaaaaaaa.......

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
James-and-Daniel-Kelly-007.jpg

James (left) and Daniel Kelly, twin brothers. Photograph: Martin Godwin for the Guardian

[h=1]Black and white twins[/h]
 
Mmhh badiri taito,yani huyo ndio mweusi tii? hahahaaaaaaaaaa,yani huyo akija tanzania ni bonge la hendisamu halfu ataitwa shombeshombe!
 
Mmhh badiri taito,yani huyo ndio mweusi tii? hahahaaaaaaaaaa,yani huyo akija tanzania ni bonge la hendisamu halfu ataitwa shombeshombe!

soma habari yao.....................viwango vyetu siyo vya kwao.............
 
wanafanana sana , cheki izo pua kwanza, ila rangi ndo tofauti

halafu huyo blaki eti kumbe ni shoga.........................mambo ni magumu sana humu duniani..............
 
yaani huyo wa kushoto ndo unamwita mweusi tii? hujafika Sudan kusini nini?

nimekuelewa..............lakini kwao huyu ni tiiii na huyu wa Sudani ni sokwe.................huoni wachezaji weuzi huwa wanatupiwa ndizi kuwakumbusha ya kuwa ni nyani tu....................wenzetu hawa wana matatizo makubwa.........
 
Wakuu wakuu cha ajabu ni nini? kuna aina mbili za twins. kwanza ni Identical twins ambao hutokea pindi zygote splits into two embryos hawa kwanza ni lazima wawe jinsia moja na hufanana sana. Aina ya pili ni fraternal twins ambao hutokea pale mayai mawili hurutubishwa na sperms mbili tofauti. Hawa wanaweza kuwa jinsia moja au jinsia tofauti na hawafanani sana.
HAWA NI FRATERNAL TWINS
 
Hao wana afadhali, ukisoma the book af lists kuna mapacha wawili wa baba tofauti, ambao walimla mama siku moja na kila mmoja ikatunga mimba siku hiyo hiyo. Mmmoja ni mweusi kama Mkapa na mwingine ni mweupe kama George Bush.

Mama alikuwa mweupe wa asili ya ki Irish.
 
Wakuu wakuu cha ajabu ni nini? kuna aina mbili za twins. kwanza ni Identical twins ambao hutokea pindi zygote splits into two embryos hawa kwanza ni lazima wawe jinsia moja na hufanana sana. Aina ya pili ni fraternal twins ambao hutokea pale mayai mawili hurutubishwa na sperms mbili tofauti. Hawa wanaweza kuwa jinsia moja au jinsia tofauti na hawafanani sana.
HAWA NI FRATERNAL TWINS

mzungu na mbantu kuwa ni pacha ni kazi nayo haitokei mara kwa mara....................matunda ya ubakaji wakati wa slavery kule jamaica.....
 
black-white-twins3.jpg

hii ni kali zaidi kama hao ni wazazi wao kwa sababu hakuna mzungu kusmea ametoa dna ya papo kwa hapo........
 
Mmhh badiri taito,yani huyo ndio mweusi tii? hahahaaaaaaaaaa,yani huyo akija tanzania ni bonge la hendisamu halfu ataitwa shombeshombe!

Huyu naye, eti mweusi tiiii wakati Naye mweupe peeee na Kama anabisha amuulize Steven Wasira.. Alf nawe pia weusi siyo kukosa u handsome
 
Back
Top Bottom