MBUFYA
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 445
- 68
Jamani watanzania, ifike wakati kwa umoja wetu na nguvu tulizopewa na mola tukubaliane kuwa Maovu yanayofanywa na ccm iwe mwisho.Tumekuwa tukipoteza watu muhimu waliojitolea kwa nguvu zao zote kwa ajili ya maendeleo ya taifa hili.
habari za mauaji ya wakala wa chadema katika uchaguzi mdogo wa igunga yamenisikitisha sana na kwa jinsi ambavyo serikali ya chamatawala anavyo chukulia suala hili.
imefika wakati itabidi tukubaliane na wito wa Mwinjilisti Faustin Munishi alioutoa katika [SIZE=-1]Gazeti INJILI http://munishi.netfirms.com, chini ya kichwa cha Hotuba ya Munishi kwa taifa la Tanzania., hapo utaona maovu yote yaliyofanywa na ccm.
hi ni sehemu tu ya hotuba yake:
[/SIZE]MAUAJI YA KISIASA SIRI YAFICHULIWA

Wanasiasa kwa makusudi wameziharibu taasisi zote. Duniani taasisi zote hufanya kazi kwa ajili ya wanasiasa. Nchi zilizoendelea wameendelea katika kujaribu kuficho hilo lakini nchi zetu jambo hilo liko wazi.
Kwamba wana mbinu kali za kulificha, haiwatofautishi na wenzao katika nchi zinazoendelea. Inabaki kwamba kila taasisi duniani inalinda maslahi ya wanasiasa kwanza.
Mahakama mara nyingi zinaonekana kupindisha ukweli, hasa pale ambapo mwanasiasa anahusika. Hebu fikiri kuhusu gari lililotekwa nyara katikati ya mji. Watekaji wanamlazimisha mwenye gari kuliendesha kuelekea wanakotaka.
Baada ya safari ya kama kilomita mbili hivi, wanaacha gari la kwanza baada ya kulizinga jingine kwa mbele. Mwanye gari la pili anapigwa risasi na kuuawa hapo hapo baada ya kisichojulikana kuendelea kati ya watekaji na yeye.
Wanayaacha magari yote mawili hapo baada ya kumwamuru mwenye gari la tatu kutoka ndani ya gari lake na kuwapa funguo. Wanaondoka na gari huku wakiwaacha wenye magari wote mahali pamoja, lakini mmoja ni marehemu na mwingine amebaki bila gari. Baada ya dakika kama tano hivi, Polisi wanawasili mahali hapo.
Wakiwa katika kuwahoji wenye magari wawili, waandishi wa habari wa magazeti TV na Redio wanawasili mahali pa tukio.
Usijali wataulizana nini hapo, lakini sikiliza redio na utizame TV jioni, halafu usome magazeti asubuhi yake. Utakayemsikia akitajwa kwamba aliuawa na majambazi waliojaribu kumpora gari, ndiye aliyekuwa amelengwa na taaluma zote hizo. Yaani habari yenyewe itasomeka hivi.
MAJAMBAZI WAMUUA BWANA XXXX Aliyekuwa mhubiri wa INJILI bwana XXXX amefariki dunia baada ya majambazi kumfyatulia risasi. Wakiongea katika sehemu ya tukio, bwana JJJJ na bwana SSSS walisema kwamba walishuhudia majambazi wakimfyatulia risasi bwana XXXX baada ya mvutano ulioonekana kama Bwana XXXX alikataa kuwapatia majamabzi fungua za gari lake.
Wakisimulia saidi kisa hicho, walisema kwamba walisikia mlio wa risasi mara mbili, na baadaye majambazi walitoka kwenye gari la huyo aliyekuja kujulikana baadaye kama Bwana XXXX.
Walimwamuru Bwana SSSS atoke kwenye gari lake na awape funguo. Alitii, na majambazi waliondoka na gari lake ambalo mpaka sasa halijapatikana. Kwa sababu vyombo vyote vya habari vimelipa uzito suala hilo kwenye kurasa zao za kwanza, wananchi wanaiamini hadithi hiyo.
Ndiyo lengo lilikuwa ifanyike hivyo ili wananchi waaminishwe uongo. UKWELI wa mambo ni kwamba bwana XXXX alikuwa mlengwa kwenye sakata yote hiyo. Kuna mtu aliyejua kwamba atapitia barabara hiyo saa hizo baada ya kutafiti nyendo zake kwa zaidi ya miezi mitatu.
Taasisi zilizotumika kuwadanganya wananchi nazo zilihusishwa wengine wakijua na wengine bila kujua. Walioporwa magari yao ndio ambao hawakujua nini kilichokuwa kikiendelea.
Ilikuwa hivi:Bwana XXXX aliwaudhi wanasiasa kwa kujaribu kuwaambia kwamba wanasiasa hawawatendei mema wananchi walio wengi. Walipochukizwa naye wakaamua kwamba atauawa. Pesa nyingi zikatolewa kwa ajili ya kazi hiyo.
Walitakiwa watu kutoka katika taasisi mbili nyeti. Polisi na vyombo vya habari vilitosha kukamilisha zoezi zima. Kachero mmoja wa polisi alitumika kuzijua nyendo zote za Bwana XXXX, halafu mkuu moja wa kituo cha polisi alitakiwa kuwatoa vijana ambao watafanya kama wafanyavyo majambazi.
Na huyo huyo ndiye aliyetakiwa kuvipigia simu vyombo vya habari kuviarifu kuhusu tukio, na jitihada zao za kuwafukuza majambazi. Lengo likiwa kutekeleza mauaji ya kisiasa, na kuyafanya yaonekane kama ujambazi wa kawaida.
Walikosea. Kwanza hakuna ujambazi wa kawaida. Kwamba kuna ujambazi hiyo inaonyesha kushindwa kwa wanasiasa kuwalinda wananchi pamoja na mali zao. Pili: Kwamba wanamuua mtu kwa sababu tu amewakosoa chama tawala CCM huo ni wendawazimu nambari ONE.
Wananchi mfano huu unaonyesha jinsi wanasiasa wanavyoweza kuzitumia taasisi kuyaficha maovu yao. Hii ni siri iliyofichuliwa katika mijadala ya Internet huko BCSTIMES .COM baada ya siri hii kufichuliwa na mtu aliyejiita AISHA AIESHI. Unaweza kujisomea mwenyewe kisa hicho kwa KUBONYEZA HAPA.
Kuna matukio mengi ya zamani na hivi karibuni yanayofanana kabisa na mfano huu. Mauaji ya watu zaidi ya sabini kule Zanzibar, Kifo cha SOKOINE aliyekuwa waziri mkuu wakati wa Nyerere. Kifo cha KOMBE aliyekuwa mkuu wa kikosi cha usalama wa taifa wakati wa Nyerere, na wengine wengi.

SASA BASI INATOSHA
Ndugu wananchi yangu yalikuwa hayo machache. Msimame imara, wala msikubali kuyumbishwa na hawa wanasiasa. Mkatae kabisa mbinu zao za kutaka kuendeleza maovu yao kwa kuachiana viti.
Nyerere alituachia MKAPA ili alinde madhambi yake.Naye Mkapa anataka kutuachia sijui nani ili alinde madhambi yake. Watalindana mpaka lini? Mwisho wao umefika.Sasa tunataka dunia isiyo na kitu kinachoitwa SIASA.
Wametudanganya vya kutosha, wakatuibia vya kutosha sasa tunataka KWELI ya neno la Mungu iongoze Tanzania. Mungu ni pendo na anaipenda Tanzania ndio maana amenituma mtumishi wake kuwaletea ujumbe huu. Msijali kufurukuta kwao kwani wangefanyaje nao wanakata roho?
Watawapeleka kwenye madanguro yao kuwatesa lakini msikate tamaa. Watatumia kila mbinu ikiwepo ya kuwafungulia kesi za uongo, msijali kwani hayo yote hayana budi kuja. Nguvu ya dola ni ndogo sana ukilinganisha na nguvu ya wananchi wamoja.Umoja wetu na imani yetu kwa Mungu ndiyo silaha kubwa ambayo kila mmoja wetu lazima awe nayo.
Watahangaika kujua nani anayetupa nguvu tulizo nazo, lakini jibu watakalolipata litawarudisha hatua mia tatu nyuma. Wataanzisha magazeti kwa lengo la kuueneza uongo wao lakini watagonga mawe kwani wananchi tumeyashitukia magazeti ya hivyo.
Watatumia pesa walizoiba kwetu kutununua kwazo, nasi tutatumia pesa bila kuwaunga mkono.Pesa ni zetu. Zikirudishwa hatuachi. Tutazitumia. Tuanze mara moja zoezi la kuchoma moto kadi za vyama vya kisiasa. Sisi ni waumini wa dini na hiyo inatutosha.
Hatuwezi kuamini katika dini mbili, yaani siasa na INJILI. Moja ni ya shetani na nyingine ni ya Mungu.Sisi tumeamua kuwa upande wa Mungu. Mungu hawezi kutuacha watoto wake tuteswe na siasa za yule mwovu.
Hatua ya kwanza tutakayoichukua kuelekea ukombozi, Mungu atachukua hatua mia moja kutulinda na CCM pamoja na wanasiasa waovu. Mara zote Mungu hafanyi chochote kutulazimishia matakwa yake.
Lakini tunapoamua kwamba tutaifuata njia hii, na kisha tuombe baraka na ulinzi kutoka kwake, mara moja Mungu hutujibu maombi yetu kwa kuanza kutulinda na kutupa ufunuo zaidi. Nilipochukua kalamu kuanza kuandika haya, ndipo ufunuo wote huu uliponijia kutoka kwa Mungu.
Ningengoja ufunuo kwanza ndipo niandike, pengine mpaka mwaka 2080 ndipo ningepata ufunuo huu. Ni muhimu sana kutilia maanani ujumbe huu. Huwezi kuusoma popote kwani lengo kubwa la serikali ni kuwazuia wananchi kujua. Wanajua kwamba mkijua mtawauliza maswali wasiyopenda kuulizwa.
Wana mengi ya kuficha na anayejaribu kuyafichua ni adui wao nambari moja. Kama hawatammaliza kibiashara au kisiasa, basi watapanga njama za kuutoa uhai wake. Wameuawa wengi ndiyo maana hatuchukulii kama mzaha matisho yao ya kuua. Bonyeza hapa usome yale waliyokusudia kumfanyia mwandishi wa hotuba hii
habari zaidi fuata linki hii http://munishi.netfirms.com