Maovu ayafanyayo ocd zuberi mwombeji na wenzake katika kituo kikuu cha polisi arusha

mpinga shetani

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
3,236
954
KWA MUDA SASA MAASKARI WA KITUO CHA POLISI ARUSHA (CENTRAL) CHINI YA OCD MWOMBEJI WAMEKUWA WAKICHEZA MCHEZO HUU MCHAFU NA WA KUTISHA.

VICTIMS NI WENYE MAGARI BINAFSI.

UTASHANGAA TU GHAFLA UNAANDAMWA NA GARI LA POLISI LAND-CRUISER YA BLUE NA KUPIGIWA HONI USIMAME.

WATASHUKA MAASKARI NA KUKUAMBIA UNAHITAJIKA KITUONI NA GARI LAKO HILO.

UKIFIKA PALE CENTRAL POLISI WATAKULETEA MAMA MMOJA AMBAYE ATAANGALIA GARI LAKO NA KUSEMA "NDILO HILI HILI!"

HALAFU ATADAI GARI HILO (lako) LILIMTEKA NYARA MAENEO FULANI SIKU MBILI ZILIZOPITA AMBAPO ALINYANG'ANYWA FEDHA TASLIMU 500,000 AU ZAIDI, PAMOJA NA SIMU KABLA YA KUTELEKEZWA .

UTASWEKWA RUMANDE. UTATISHWA KUWA KOSA HILO LAWEZA KUKUFUNGA MAISHA. GARI LAKO LITASHIKILIWA PALE CENTRAL.

RAFIKI AU NDUGU ZAKO WATATISHWA HIVYO HIVYO NA BAADAE KUAMBIWA KUWA YULE MAMA YUKO TAYARI KUFUTA KESI ALIMRADI ALIPWE HELA ZAKE ALIZOPORWA PAMOJA NA SIMU.

PIGA MAHESABU YA 500,000 PLUS MOBILE PHONE AND GHARAMA ZA POLISI.

WENGI WAMEINGIZWA MKENGE NA WAMELIWA MAMILIONI YA FEDHA.

UNALIPA KWA OCS NA MPELELEZI WA KESI YAKO NI JAMAA MMOJA ANAITWA DEO AMBAYE NDIYE ATAKUKABIDHI GARI LAKO UKISHA-WAONA HAO WATU.

CHA AJABU HUYO MAMA HUMWONI TENA BAADA YA ILE SIKU YA MWANZO ANAPOITAMBUA GARI YAKO.

WAKATI WA KULIPA ATAKUWEPO OCS, DEO NA MWOMBEJI. WATAKUTISHA KUWA 'UNA BAHATI SANA' MAANA UNGEWEZA HATA KUPIGWA RISASI SIKU ULIPOKAMATWA.

MUNGU APISHILIE MBALI IWAPO WATATOKEA 'KULIPENDA' GARI LAKO.

PS: JANA KUNA MTU ALIDAI KUWA SINA POST NYINGI PAMOJA NA KUWA MEMBER TANGU 2010 OH MASIKINI MIE SINA TABIA YA KUONGEA KAMA SINA CHA KUSEMA I HOPE IT IS NOT A SIN




 
Na nyie mumekaa munalala watu wa Arusha bwana nchi nzima tunawategemea nyie muanzishe ukombozi wa jumla,huyu hakikisheni safari hii hapiti fanyeni kila njia mumuondoe bwana hafai huyo ni jambazi mkubwa zuberi kitu gani mwizi tumesema tuleteeni CV yake tumjue mshenzi huyo
 
hii nayo kali. kadiri muda unavyoenda huyo jamaa atageuka kama Mahita awakamate kina Lema, atoke nao nje ya mji, awatandike risasi then aseme walikuwa wakijibizana risasi na wakayashinda majambazi. Akishalfanya hili then anapandishwa cheo kuwa rpc, maisha yanaendelea at the expense of other people's lives. Amelaaniwa mshenzi Zuberi.
 
Kama hujui haki zako hili litakutokea, alafu nadhani wanaangalia watu mafala ndo wanawadaka kinamna hii, mimi hata trafiki akinisimamisha anajuta kwanini alinisimamisha, mwisho anajikutaka anacheka cheka tu hana cha kuuliza,
 
Hapana hii si kweli, Thibitisha tafadhali!

Kama una gari wala usijali yatakupata hivi karibuni. huenda isiwe kwa staili iliyoelezewa hapa lakini kwa njia moja au nyingine. Na si gari tu, hebu fanya kosa la kupelekwa kituoni pale masaa ya usiku usiku halafu muombe Mungu utoke huko hai kuja kututhibitishia humu.
 
kwa askari wetu hilo hatushangai, wanalipwa mishahara kwa kodi zetu lakini bado wanatunyanyasa
 
Back
Top Bottom