Maonyesho ya Syria mjini Arusha

Jimjuls

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
483
160
Habari za leo,
Kuna Maonyesho ya kibiashara yanayoendelea jijini Arusha katika Hoteli ya Naura Springs.Hivi nikajiuliza...
Mbona hii nchi iko vitani na bado balozi zake zinadhubutu kufanya kazi?
Na je, wanatuonyesha nini (wasiria) wakati kwao mgogoro kila siku?au biashara haihusiani na siasa?

Mungu tusaidie, mi nadhani hata ubalozi wao ungekuwa umeguswa na yanayoendelea na si kushadadia biashara zao....
 
hivi nyie mnadhani nchi ikiwa katika mgogoro au vitani ndio kila kitu kina simama? ugomvi unahitaji kugharamiwa bwana ndio maana kuna wanaofanya vita na wengine wako business as usual no matter what is goin on around!
Unajua vita kama angola ,congo na rwanda just to name a few watu wame generate massive incomes kupitia deals halali na zile shady?
 
Habari za leo,
Kuna Maonyesho ya kibiashara yanayoendelea jijini Arusha katika Hoteli ya Naura Springs.Hivi nikajiuliza...
Mbona hii nchi iko vitani na bado balozi zake zinadhubutu kufanya kazi?
Na je, wanatuonyesha nini (wasiria) wakati kwao mgogoro kila siku?au biashara haihusiani na siasa?

Mungu tusaidie, mi nadhani hata ubalozi wao ungekuwa umeguswa na yanayoendelea na si kushadadia biashara zao....

Yanaanza lini kaka?
 
Yanaanza leo saa 5 asubuhi hadi saa 4 usiku....nadhani hadi tarehe 24/06/2012...
 
Back
Top Bottom