Maonyesho ya sabasaba..........what impacts

meddie

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
434
125
Ndg zangu wakati waheshimiwa wa chama tawala wakiendelea kula kuku kwa mlija kule mjengoni na kulinda maslahi binafsi na kuitetea serikari na mfumo mbovu uliowaweka bungeni, naomba tuachane nao kdg na tujadili jambo la msingi linalogusha ustawi wetu kiuchumi na kijamii!!

Jambo lenyewe ni Dar es Salaam International Trade Fair which is now in its thirty-second year, having originally been held to promote Tanzanian exports.

Watz tunahaki ya kuwa na matarajio makubwa katika DITF hivyo ni vema tukawa makini, kutadhimini na kushauri kwa nia ya kuboresha na kuhakiikisha matokeo yake si kuzalisha jamii ya wachuuzi si wazalishaji. Maonyesho haya yanafanyika na yataendelea kufanyika mwaka baada ya mwaka, hofu yangu…..we can exhibit just out of habit and forget that the event should be results based.
Ebu tujiulize
· Out of this many year DITF is there a clear drive for small/medium/large industrial development in our country
· Do we have significant technology development/transfer because of DITF
Watz kwenye siasa ni maluweluwe yanafanyika, kwenye mpira/michezo nako ni ziro! Sasa hebu tujadili na kuona jinsi gani jambo hili la kiuchumi linaweza kuboreka na kuwa chachu ya maendeleo. Tuache kuendesha mambo “business as usual”. Tusitegemee wawakilishi wetu watakaa kujadili ama kujiuliza juu ya ufanisi wa DITF…wao posho inawatosha!!
 
Ok, maonyesho hayana tija, ninachokiona ni watu kushonewa suti tofauti tofauti kila mwaka, kutumia magari ya maofisi full time, na kupewa posho za kula na kunywa hapa mahali, kukaa na kuspend all most 3 or 4 weeks there. Washindi wetu ni wale wale karibia miaka yote, then after ushindi wanafungia bidhaa kama siyo kuzibadili kidogo ili next year waende tena. Kivyangu naona ni namna mojawapo ya kugawana posho tu.
 
Back
Top Bottom