maono ya Omutwale, mwana JF si ya kupuuza

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Hii sinema inaelekea episode za mwisho mwisho. Na utabiri wangu ni kuwa pamoja na harufu za damu za wenye kuhisi kumiliki chama; pia CDM itakumbwa na mtikisiko mwingine mkubwa kupiti viongozi wake wa juu. Zitto na Mbowe watakuwa upande mmoja kupokea misaada ya EL na genge lake huku wakimficha Dr. Slaa. Dr. Slaa ataishia kupewa mabomu akalipue huku "wakuu" wakinufaika na kutoa makazi na uwanja wa kurushia makombora kuelekea ccm. Haya ni maono yangu tu!
lolote laweza tokea from now
 
ivuga mbona kama unatapatapa kuinusuru ccm ? hatua iliyofikia ni ngumu sana cha muhimu sio kuiombea cdm isambaratike bali ni kuwakwamua wananchi hapa ccm ilipowafikisha wananchi sasa wanajua haki zao leo ukimwambia fisadi ni mtu safi kesho ukisema huyu ni fisadi watu watahoji ccm isiendelee kujidanganya wananchi wamechoka kujifunga mikanda huku wachache wanaishi kama wako peponi.alamsiki.
 
Ivuga unatutisha............

these are speculations ambazo kama unataka tuanze kuzitilia shaka na kutokuzipuuzia, you need to take some extra mileage na kutuambia ni nini kinachokufanya uwe na speculation kama hizi.....

BTW, this world is bound to allow anything to happen at any time and anywhere...........
 
Every person is entitled to air out what he dreams of!
I see these as just wishes, may happen or not...so we dont have to get so much carried with it.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom