Maoni yenu wandugu

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Habarini Wana Jamii wote. Napenda kupata maoni yenu kutokana na uzoefu ama uelewa juu ya jambo hili:-

Je ni sehemu gani nzuri kwa hapa Dar es Salaam ya kufanyia vikao vya Harusi au send-off kwa kuzingatia usafiri, Foleni na mengine mengi hasa kwa kuzingatia uwezekano mkubwa wa kuwahi kwenye vikao kwa muda uliopangwa ama kukubalika.

Naombeni Mawazo yenu
Asanteni
:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
Sinza Afrika sana pale, mkitoka pale hadi madaladala ya mbagala yapo
 
MSIMBAZI CENTRE, ILALA. Pale watokao Pande za tegeta, bunju na kawe wataungana na wale wa mwenge kuja MSIMBAZI CENTRE kirahisi kabisa kupitia Kawawa Road. Wale wa Kinyelezi, Segerea na Tabata wataungana na wa Buguruni kupitia Uhuru Road. Wale wa Pugu, G'Mboto, banana, kipawa na tazara watakuja kwa nyerere road na uhuru road. Wa mbagala, kijichi, mtoni, kurasini na tandika watakuja kupitia kilwa road hadi ilala. Wale wa Posta na kariakoo watatumia uhuru road. Wale wa Upanga, Oysterbay, sea view na masaki hao watakuja tu kivyao kwa vile wao mara nyingi hutumia private cars wala usihofu alafu ndo wachangiaji wazuri. Wa Mbezi, kimara na ubungo watatumia barabara ya mandera na uhuru faster. Wa magomeni, manzese na kigogo wao huwa hawaji kwenye vikao hata ungefanyia kwenye anga zao ila ni wazamiaji wazuri kwenye harusi, achana nao!
 
swadakta maalim.
 
Kwa kutokuwabagua wa magomeni watumie mabasi kutoka mwenge na wale wa manzese, mburahati, mabibo na kigogo watatumia barabara ya Luhanga kutokea manzese. Kwa vile nimewapa umuhimu wa kuhudhuria basi waje huko MSIMBAZI CENTRE na michango. OK!
 
Back
Top Bottom