Maoni yenu juu ya wimbo mpya wa hussein machozi

I LIKE it!!
The story is well thought through and the music is good. Yani kwa maana nyingine naweza kuuplay tena, na nikiusikia sehemu sitotamani mtu abadili station/wimbo.
 
Mwanamuziki huyu anataka kuonyesha jinsi maisha yalivyokwenda juu kwa muda aliokuwa jela. Anatoa mifano michache sana ya gharama za maisha. Bei ya kipande cha sabuni anaitumia kupima bei ya vitu vingine; unga nk. Ataje kabisa vitu na bei zake.
Muziki (melody) ni nzuri, unaingia kichwani.Utatoka lini?
 
Back
Top Bottom