Maoni yangu kwa bmt na tff.

Tanzania1960

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
204
22
tafadhali sana klabu inayofukuza wachezaji na makocha holela zithibitiwe
kwa sababu zinachafua sifa za taifa letu kwa ujumla.
ianze kwa yanga.
 
Sifuri kabisa.
Kwa taarifa yako there is a say that "Coaches are hired to be fired" na hii ni applicable to Dunia nzima,kama ulitimiza nusu ya mahudhurio ya ile elimu yako ya QT(Form IV kwa miaka miwili) nafikiri utaelewa maana ya msemo huo.
Infact Simba ndo wanatakiwa wadhibitiwe ksbb wanaharibu sana future za wachezaji, waliwasajili kina Lino Mosombo, Mussa Mude, Kanu Mbiyaanga,Danny Mrwanda na wengineo baada ya siku chache wakawaacha,sasa nasikia wanatamani sana wawaache kina Ochieng na Keita lkn muda taratibu na sheria zinawazuia.
 
Back
Top Bottom