Maoni yangu kuhusu katiba mpya

mtayeshelwa

JF-Expert Member
Oct 28, 2011
1,170
390
Kama mtanzania ninaomba kuwasilisha maoni yangu kwenye mchakato wa kupata katiba mpya kama ifuatavyo.

1.Katiba mpya ianishe mipaka ya Tanzania na nchi jirani na siyo kuishia kuitangaza TANZANIA kama jamhuri kama ilivyo kwenye ibara ya 2 ya katiba ya sasa kwa mfano mpaka wa Tanzania na Kenya unaishia wapi?
2.Katiba mpya ipige marufuku tena marufuku kuvaa mavazi yanayo wakilisha dini furani kwenye Taasisi za serikali kama vile shule za serikali,jeshini, police na office zote za umma ili kuondoa kujuana na upendeleo wa kidini kama ilivyo anza kujitokeza sasa
3.Chaguzi zote za kitaifa zisifanyike serikali vyama vya siasa marufuku kufanyika siku z kupiga kuraa ibaada yaani ijumaa jumamosi na jumapili ili kutoa fursa kwa wanachi kushiriki kikamilifu kupiga kura kwani uchaguzi ni kazi kama kazi nyingine haizekani ifanyike siku za ibaada.
4.Uongozi, ajira vyeo ,na madaraka serikalini visitolewe kwa vigezo vya dini kabila jinsia na rangi sifa kubwa iendelee kuwa uwezo wa mtu kushika nyazifa hiyo au kufanya kazi husika
5.Maswala binafisi ya dini ya mtu yeyote ile yasiingizwe kwenye katiba mpya kama vile mahakama ya kadhi na oic yaendelee kuwa binafisi
6.Serikali ipige marufuku kujenga nyumba za ibaada kwenye taasisi za uma kama vile viwanja vya ndege na mashuleni na nyumba za ibaada zilizopo ziondolewe au kama inruhusu iruhusu dini zote.
7.Serikali isimamie kwa haki uhuru wa kuabudu kwa wale wanaoamini uwepo wa MUNGU na adhabu kali iwekwe kwa wale wanaoingilia uhuru wa mtu kuabudu kwa kukashifu dini ya mwenzake kuleta vurugu kama vile kuchoma nyumba za ibaada
8.Nafasi ya mgombea binafisi irusiwe kwa ngazi zote za uchaguzi yaani kuanzia serikali za mtaa hadi raisi hii ni kuwapa fursa wananchi wasio kuwa wanachama wa vyama vya siasa
9.Viongozi wa kitaifaa wanaotumia madaraka yao vibaya na kufanya ufisadi washitakiwe hata kama hawajamaliza muda wao wa uongozi kama ilivyo kwenye katiba ya sasa ibara ya 45
10.Napendekeza ibaara zifuatazo ziendelee kuwemo kwenye katiba mpya kama vile ibara 3(1), 18(a)(b)(c)(d) 19(i)(2) 20-(1)(2)(a)(b)(c)(d)(e) 26-(1)

wana jf naomba kuwasiliana
 
[1] [maoni yangu kuhusu katiba mpya ni ardhi ya tanzania hisiwe chini Rais bari iwe chini ya wabunge kwani wao ndio wawakilishi kamili wa wananchi na watungaji wa sheria za nchi

[2]lazima pawepo na mgombea binafsi haki ya kuchagua na kuchaguliwa haifati makundi tu bali hata mtu mmoja mmoja
 
kigezo cha kugombea nafasi ya ubunge iwe angalau kidato cha 6

madiwani angalao wawe kidato cha 4
 
Kama mtanzania ninaomba kuwasilisha maoni yangu kwenye mchakato wa kupata katiba mpya kama ifuatavyo.

1.Katiba mpya ianishe mipaka ya Tanzania na nchi jirani na siyo kuishia kuitangaza TANZANIA kama jamhuri kama ilivyo kwenye ibara ya 2 ya katiba ya sasa kwa mfano mpaka wa Tanzania na Kenya unaishia wapi?
2.Katiba mpya ipige marufuku tena marufuku kuvaa mavazi yanayo wakilisha dini furani kwenye Taasisi za serikali kama vile shule za serikali,jeshini, police na office zote za umma ili kuondoa kujuana na upendeleo wa kidini kama ilivyo anza kujitokeza sasa
3.Chaguzi zote za kitaifa zisifanyike serikali vyama vya siasa marufuku kufanyika siku z kupiga kuraa ibaada yaani ijumaa jumamosi na jumapili ili kutoa fursa kwa wanachi kushiriki kikamilifu kupiga kura kwani uchaguzi ni kazi kama kazi nyingine haizekani ifanyike siku za ibaada.
4.Uongozi, ajira vyeo ,na madaraka serikalini visitolewe kwa vigezo vya dini kabila jinsia na rangi sifa kubwa iendelee kuwa uwezo wa mtu kushika nyazifa hiyo au kufanya kazi husika
5.Maswala binafisi ya dini ya mtu yeyote ile yasiingizwe kwenye katiba mpya kama vile mahakama ya kadhi na oic yaendelee kuwa binafisi
6.Serikali ipige marufuku kujenga nyumba za ibaada kwenye taasisi za uma kama vile viwanja vya ndege na mashuleni na nyumba za ibaada zilizopo ziondolewe au kama inruhusu iruhusu dini zote.
7.Serikali isimamie kwa haki uhuru wa kuabudu kwa wale wanaoamini uwepo wa MUNGU na adhabu kali iwekwe kwa wale wanaoingilia uhuru wa mtu kuabudu kwa kukashifu dini ya mwenzake kuleta vurugu kama vile kuchoma nyumba za ibaada
8.Nafasi ya mgombea binafisi irusiwe kwa ngazi zote za uchaguzi yaani kuanzia serikali za mtaa hadi raisi hii ni kuwapa fursa wananchi wasio kuwa wanachama wa vyama vya siasa
9.Viongozi wa kitaifaa wanaotumia madaraka yao vibaya na kufanya ufisadi washitakiwe hata kama hawajamaliza muda wao wa uongozi kama ilivyo kwenye katiba ya sasa ibara ya 45
10.Napendekeza ibaara zifuatazo ziendelee kuwemo kwenye katiba mpya kama vile ibara 3(1), 18(a)(b)(c)(d) 19(i)(2) 20-(1)(2)(a)(b)(c)(d)(e) 26-(1)

wana jf naomba kuwasiliana

safa kaka umegusa mambo msingi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom