MAONI YAKO KUHUSU TIBA YA BABU LOLIONDO- Questionnaire Survey

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Jul 5, 2008
281
66
Wakuu katika pitapita mtandaoni nimekutana na hii hapa, tunaweza kushiriki.

Kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja sasa vyombo vya habari nchini Tanzania na nje ya nchi vimekua vikiandika habari juu ya Mchungaji Ambilikile Mwasapile wa kijijini Semunge huko Loliondo pamoja na dawa anayoendelea kutoa kwa maelfu ya wananchi wenye matatizo mbali mbali.
Tungependa kufaham maoni yako binafsi juu ya suala hili kwa kujibu maswali machache kwenye survey inayopatikana kwa ”ku-click” link hapo chini. Inachukua dakika chache kujibu maswali na hatuhitaji kufaham jina lako. Matokeo ya takwimu yatatangazwa hapa siku chache zijazo Ahsante.

https://spreadsheets0.google.com/viewform?formkey=dEswRHpxZ3RJSzAzalBDYkVZMEs5N1E6MQ
 
Zoezi la ukusanyaji maoni bado linaendelea wadau, mnakaribishwa kutoa maoni yenu kwa kujaza questionnaire kama bado haujafanya hivyo
 
Ni questionaire nzuri, lakini kwanini muulize dini ya mhusika...has it got any impact kwenye masuala ya tiba?
 
Tujifunze kufanya mambo yetu kisayansi zaidi- Big Up nami nimeijaza na Samunge nimerudi niko fit sana.
 
Wakuu katika pitapita mtandaoni nimekutana na hii hapa, tunaweza kushiriki.

Kwa kipindi cha zaidi ya mwezi mmoja sasa vyombo vya habari nchini Tanzania na nje ya nchi vimekua vikiandika habari juu ya Mchungaji Ambilikile Mwasapile wa kijijini Semunge huko Loliondo pamoja na dawa anayoendelea kutoa kwa maelfu ya wananchi wenye matatizo mbali mbali.
Tungependa kufaham maoni yako binafsi juu ya suala hili kwa kujibu maswali machache kwenye survey inayopatikana kwa "ku-click" link hapo chini. Inachukua dakika chache kujibu maswali na hatuhitaji kufaham jina lako. Matokeo ya takwimu yatatangazwa hapa siku chache zijazo Ahsante.

https://spreadsheets0.google.com/viewform?formkey=dEswRHpxZ3RJSzAzalBDYkVZMEs5N1E6MQ

Jaribu kutizama tena swali la nne na la tano ili urekebishe hiyo questionaire. Kimantiki sio lazima kujibu swali namba tano kama jibu la namba nne ni +ve, lakini ili kusubmit, unalazimika kujibu namba tano na yaliyotangulia.
 
Back
Top Bottom