Maoni yako Kuhusu Picha Hii

ELNIN0

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
4,161
1,460
00011.jpg
 
CCM inatuweka mpaka tunakuwa waoga hata wa KUKU MZINGA...NICE GIRL...apewe elimu bure lkn itawezekana kama SLAA akiingia MJENGONI....we have a lot of misses lkn CCM
 
Umejuwaje kuwa ni NICE GIRL? Umejuwaje kuwa ni Girl at all? Mie nimeona kitoto tu sasa sijui Mkuu umegunduaje....

Mtoto alikuwa anamwambia Bata Mzinga "Leo nyama zenu nimekinai, hebu pita ukafie mbele..........."

CCM inatuweka mpaka tunakuwa waoga hata wa KUKU MZINGA...NICE GIRL...apewe elimu bure lkn itawezekana kama SLAA akiingia MJENGONI....we have a lot of misses lkn CCM
 
Yan duh! Lazima mdogo wangu aogope!!! Mbata mzinga mkubwa ka nyumba alafu tutoto tudogo jamani?! Alafu BATA lenyewe "ZINGA DUME" tutoto "TUSICHANA" mnatakaje ka si kutufunza UOGA WATANZANIA wenzio jamani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom