Maoni ya watu wa Kyela na Mbeya kwa ujumla kuhusu afya ya Dr Mwakyembe

Afya ya Dr Mwakyembe si suala la watu wa Mbeya au Kyela pekee yao hili ni suala la kila raia wa Tanzania mwenye mapenzi mema na nchi yake.Nimeguswa sana na ugonjwa wa Dr Mwakyembe kiasi siku haiwezi kupita bila kuizungumzia afya ya mpiganaji wetu,hakika Tanzania inapitia katika kipindi kigumu kuliko tunavyofikiri.

Watanzania wote bila kujali itikadi za vyama,dini,kabila sote kwa pamoja tumuombee Dr Mwakyembe.WanaJF Arusha t uandae siku maalumu ya kumwombea Dr Mwakyembe ikiwemo kufunga kwa siku kadhaa tutakazo kubaliana.WanaJF wa mikoa mingine wasibaki nyuma wahakikishe wanafanya sala na toba kwaajili ya Dr Mwakyembe tusisubiri afe tuanze michakato ya kutengeneza tshart na nk.Tafadhali chukua hatua kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wako.

Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Afrika.
 
MI NADHANI CHA MSHNGI WANAMBEYA NI KUTANGAZA MGOGORO NA CCM.
Then kila mtu nyumbani kwake aweke kiroba cha mawe wakitia mguu huko mnawanyeshea mvua ya mawe.
 
hivi kuandika kiluga chenu ndio kuonesha mapenzi kwa mbunge wako? unategemea wengine tuchangie vipi
 
Afya ya Dr Mwakyembe si suala la watu wa Mbeya au Kyela pekee yao hili ni suala la kila raia wa Tanzania mwenye mapenzi mema na nchi yake.Nimeguswa sana na ugonjwa wa Dr Mwakyembe kiasi siku haiwezi kupita bila kuizungumzia afya ya mpiganaji wetu,hakika Tanzania inapitia katika kipindi kigumu kuliko tunavyofikiri.

Watanzania wote bila kujali itikadi za vyama,dini,kabila sote kwa pamoja tumuombee Dr Mwakyembe.WanaJF Arusha t uandae siku maalumu ya kumwombea Dr Mwakyembe ikiwemo kufunga kwa siku kadhaa tutakazo kubaliana.WanaJF wa mikoa mingine wasibaki nyuma wahakikishe wanafanya sala na toba kwaajili ya Dr Mwakyembe tusisubiri afe tuanze michakato ya kutengeneza tshart na nk.Tafadhali chukua hatua kwa mambo yaliyo ndani ya uwezo wako.

Mungu Ibariki Tanzania Mungu Ibariki Afrika.

Mimi kwenye kufunga sitahusika hata kidogo
Labda naweza iombea familia yake tu
 
kwakweli hata mimi naungana na wewe kuonyesha masikitiko yangu kama binadamu. Ila anadhambi moja ya kuficha ukweli wa richmond. Ni wakati sasa atueleze ukweli wa riport ya richmond. Ashilikiane na mwenzake sitta wanao ukweli.

Buberwa bwana wewe Kyela umeenda lini bana. Mwenye thread kasema wana Kyela wewe kutoka Kitobo - Bugandika - Ruzinga - Kishoju- Kianja- ukaibukia Kyela duh!!! Poa lakini hata mimi wa Kanyinabushwa naunga mkono hoja. Nampa pole. Kuhusu richmond akiona vema atasema. Mbona EL kasema wazi kuwa Kikwete aliitetea Richmond alipopigiwa simu kuwa aifute yeye akasema anaifahamu? Mbaneni JK aeleze aliwajua vipi?
 
Kwanza wewe Ndomyana hebu uwe na huruma, wabunge karibu wote ni staili hiyohiyo, hata wewe ndomyana ukipata ubunge utafanya hivyohivyo.

Mhe Mwakyembe sasa hivi yuko katika kipindi kigumu, inaaminika kabisa kwa sisi great thinkers ugonjwa wake siyo god creation bali ni man made. Hivyo wahusika wa ugonjwa wake wameona mbali zaidi, siku chache zilizopita walipendekeza yaani NEC ya sisiemu ilishauliwa iiagize serikali yake kwamba pasipo kuvunja sheria wala katiba ifute chaguzi ndogo zisiwepo ila chama kitakacho poteza mbunge hicho hicho kipewe nafasi ya kuteuwa mbunge mwingine kwa utaratibu unaofaa. kwa sisi great thinkers tuliona utaratibu huu unalenga kukwepa sehemu ngumu kama huko Kyela kwa vyovyote likitokea la kutokea huko hakuendeki basi utumike utaratibu huo.

Naomba kuwasilisha. ila Ndomyana umenibore kweli kweli.

km kweli we upo kyela nafkir unajua nin kinendelea ju ya mwakyembe na wanakyela. Huyu ni kero pale kyela, Hawataki hata kumwona stend. Mwakyembe kaalibu nyumbani, hata chamani madui kila sehem. Nlifrai sn kuskia mwanakijiji mwenzangu anakuwa mbunge wetu. Ila naumia sn napona tumezungukwa na mito, ziwa, chemichemi na bomba zilizokauka maji, tunakunywa maji ya visima na madimbwi
 
Mwakyembe katuangusha sana,siku zote hakutaka kusema ukweli,akiwa kama kibaraka wa ccm na serikali.
Watu waliemchagua kuwa MP aliwaona hawana maana.Sasa hao hao wame mgeuka.
Na watu wa Kyela walimpenda na kumwamini (ingawe alikua ccm)Ila sasa ccm basi.
 
Jamani, nimeguswa sana na hali aliyo nayo Mbunge wetu wa Kyela, Mh. Mwakyembe. Kusikitishwa huku hasa kunatokana na mazingira mazima yanayozunguka hali aliyonayo mbunge wetu huyu, ambaye zaidi ya ubunge bali ni mtanzania mzalendo ambaye siku zote ametetea si tu maslahi ya wana kyela bali maslahi ya uma kwa ujumla dhidi ya waporaji wakuu wa mali za nchi hii.

Nimeanzisha uzi huu, ili wana kyela, tutoe mtazamo wetu wa ugonjwa wa mbunge wetu na jinsi serikali inavyolishughulikia suala hili. Na kisha tuweze kupata way forward ktk kujaribu kunusuru maisha ya mbunge wetu. Na pia tujiandae kama lolote linatokea ni kwa namna gani tutawaadhibu wale wote ambao mazingira na ushahidi mwingiene utaonesha kuwa wapo nyuma ya tatizo hili la mbunge wetu.

Jamani huyu ni mbunge wetu, ni lazima tumuoneshe kuwa tunampenda na tunampigania kama ambavyo amekuwa akitupigania siku zote za yeye kuwa mbunge wetu.

Tujowe awammweto, abando habha bhikolonda okotokinela. Tobaboneswe okote tokaja bando ba kokenelwa kwa namna hii.

Nimekua nikimini na kusikitika sana juu ya Bwana mkubwa wetu nikiamini kalishwa sumu,lakini nimebaini from a reliable source kua sivyo kama sisi tunavyofikiri.Dr wa Appolo(jina kapuni) Ambye huwa anashugulika na A/c za matibabu za wakuu wetu wanapokwenda kutibiwa Appolo alitukata duku duku letu baada ya kummuliza ni nini hasa kinachomsumbua mkuu wetu maana mneno yamekua ni mengi mtaani.

Jibu alilotupa lilikua ni moja,kua huyu jamaa yetu anatafuta pakulalama tuu ila ukweli wa mambo ni AMEUNGUA/NGWENGWE.NimeshAngaa kusikia hivyo na I had to take back my words kwasababu nilimchukia sana Manumba kwa kauli yake na nikamuita MKATILI nikidhani anakwepesha ukweli wa mambo kwa kusema ugonjwa wake hAuusini na sumu.Kumbe alikua alikua anajua alisemalo.

Tumekua na wazo moja tuu la sumu,lakini hatukuwa tunafikiria upande mwingine wa shilingi.Mkuu wetu si ana file lake la Appolo,kwanini haliweki wazi?anaacha wtu walumbane tuu wakati ni kitu kidogo sana cha kuweka file wazi.MtAkuja amini ivi karibuni,time will tell.Hili ni dokezo tuu.
 
Mi hata sioni umuhimu wa ubunge wa huyu mnafiki. Kwa kweli wanakyela hawana cha kukukumbuka zaidi ya kukwonea huruma kibinadam. Umeshindwa kuturudishia maji yetu, mabomba yapo, umeshindwa kutawanya umeme vijijin, afya, shule, barabara da kwa kweli alipoachia kasyupa ndo had sasa. Tulikwambia ulipokuja kijijin kwetu uame ccm ukasema unaipenda sn. Mku najua we ni mbishi na mnafki sn ndo vinavokumaliza. Hatuna cha kumskitikia make kila kijiji anachoenda wanampiga mawe na vilevile analana za wazee akumbuke sku alipokusanya hela za kuludisha maji na kulala mbele nazo.

hauna lolote wewe,na sizani kama wewe ni mwana kyela,chuki na wivu zimekutawala.acha roho mbaya ndugu.
 
Jamani tuchangie hoja vizuri,Mm huyu ni mbunge wangu,sioni sababu ya kuhusisha ugonjwa wa mbunge wangu Dr H Mwakyembe na CCM, yeye mwenyewe na wapiganaji wa Ufisadi wakina Sita hawajawahi kutuambia na kulitangazia taifa kuwa CCM ndiyo imemdhuru Dr H Mwakyembe waliomdhuru ni kikundi cha watu wachache ambao wao wanawaita mafisadi na wala si CCM jamani kama huna cha kuchangia kaa kimya usitake kupotosha watu kwa utashi wako wa kisiasa kyela ni jimbo la CCM damu damu kama wapinzani hamuamini njoeni tutawathibitishia kwa vitendo sisi huku huwa hatutaki mtu mwenye porojo!

hao mafisadi wako chadema au cuf? Mafisadi wote wanapatikana ccm.jipange ndugu jimbo litaenda upinzani tu.lets wait for 2015.
 
Jamani tuchangie hoja vizuri,Mm huyu ni mbunge wangu,sioni sababu ya kuhusisha ugonjwa wa mbunge wangu Dr H Mwakyembe na CCM, yeye mwenyewe na wapiganaji wa Ufisadi wakina Sita hawajawahi kutuambia na kulitangazia taifa kuwa CCM ndiyo imemdhuru Dr H Mwakyembe waliomdhuru ni kikundi cha watu wachache ambao wao wanawaita mafisadi na wala si CCM jamani kama huna cha kuchangia kaa kimya usitake kupotosha watu kwa utashi wako wa kisiasa kyela ni jimbo la CCM damu damu kama wapinzani hamuamini njoeni tutawathibitishia kwa vitendo sisi huku huwa hatutaki mtu mwenye porojo!

Wewe una matatizo CCM ni nini na hilo kundi ni kina nani.Bila kundi hilo ccm inaenda?Ukiongelea chama maana yake kuna wanachama na kama wanachama wakifarakana basi hakuna chama tena.Hivyo basi huwezi kutenganisha madhambi yatendwayo ndani ya CCM na CCM yenyewe.......Funguka ......mwanachama mwenzangu.
:A S-coffee:
 
Kwa kweli kama kweli ccm wako nyuma ya mapngo huu wakuwamaliza wabunge wanaotokea mkoa wa mbeya basi wategeemee bakora za kutosha tu kutoka kwa wanambeya,hawana masihala watu wa mbeya!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ukifika Kyela hawaongelei kabisa mambo ya mbunge wao. Wala hata hakuna maombi makanisani Kama ilivyokuwa wakati wa ajari yake 2009.

Kuna kitu kimebadilika sana Kyela.

Hata hapa JF sioni michango ya vijana wa Kyela kwenye hili Kama walivyokuwa wanachangia huko nyuma.

Muhimu ni kumwombea Mwakyembe Kama ndugu yetu na binadamu mwenzetu apate nafuu.
 
point.
 
Mi hata sioni umuhimu wa ubunge wa huyu mnafiki. Kwa kweli wanakyela hawana cha kukukumbuka zaidi ya kukwonea huruma kibinadam. Umeshindwa kuturudishia maji yetu, mabomba yapo, umeshindwa kutawanya umeme vijijin, afya, shule, barabara da kwa kweli alipoachia kasyupa ndo had sasa. Tulikwambia ulipokuja kijijin kwetu uame ccm ukasema unaipenda sn. Mku najua we ni mbishi na mnafki sn ndo vinavokumaliza. Hatuna cha kumskitikia make kila kijiji anachoenda wanampiga mawe na vilevile analana za wazee akumbuke sku alipokusanya hela za kuludisha maji na kulala mbele nazo.

Taratibu dogo, naona una chuki binafsi na Mwakyembe, tena chki kubwa kama aliyonayo Manumba. Hapa kinachojadiliwa ni maradhi yanayomkabili mbunge wa Kyela, ambao kila mtu anamsikitikia. Yaweza kumkuta yeyote anayeonyesha uzalendo wa nchi yake. Rudia kujikumbusha ripoti aliyotoa kuhusu Richmond.

Vinginevyo utakuwa hutendi haki si tu kwa Mwakyembe peke yake ila kwa wa tanzania woote ambao hafaidi matunda ya rasilimali zao. Wewe ni Fred EL nini?
 
Mwakyembe anaugua maradhi ya hofu na uoga basi_na ndio vitakavyo muua.
 
Mi hata sioni umuhimu wa ubunge wa huyu mnafiki. Kwa kweli wanakyela hawana cha kukukumbuka zaidi ya kukwonea huruma kibinadam. Umeshindwa kuturudishia maji yetu, mabomba yapo, umeshindwa kutawanya umeme vijijin, afya, shule, barabara da kwa kweli alipoachia kasyupa ndo had sasa. Tulikwambia ulipokuja kijijin kwetu uame ccm ukasema unaipenda sn. Mku najua we ni mbishi na mnafki sn ndo vinavokumaliza. Hatuna cha kumskitikia make kila kijiji anachoenda wanampiga mawe na vilevile analana za wazee akumbuke sku alipokusanya hela za kuludisha maji na kulala mbele nazo.

ulishawai kubakwa udogoni?
au unaendelea kubakwa na akili zako ukubwan?
:hatari:
 
Kuna ndugu kasema Harrison hajawa na msaada kwa jimbo lake Maji na umeme,kama ikulu kwenyewe umeme unakatika kwa maana ya kutotosha,pesa inayokusanywa na tanesco inapelekwa simbion,iptl,dowans nk,alitaka aunganishe na grid ya malawi?
Mwingine kasema si ccm waliomlisha sumu ila kundi la mafisadi,ikumbukwe kuwa siku mafisadi pull out of ccm will be the end of ccm,kwenye hili ccm na vinara wake hawachomoki,sisi wana mbeya tumeichioka ccm na siri kali yake. Mwakembe hana riport nyingine mbone el ali hitimisha?
 
Back
Top Bottom