Maoni ya watu kuhusu muungano.......

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
12,038
24,595
[h=6]Maoni haya hapa chini yametolewa na mmoja wa wananchi kupitia Group moja katika facebook.

"Mkataba wa muungano ndiyo chanzo/asili/ mama wa mikataba yote mibaya na mibovu katika nchi hii.
Mkataba gani wa kuunganisha nchi unaridhiwa na mtu mmoja bila ya kushirikisha wananchi kupitia kura za maoni wala kupitia bunge lao.....na hata maada ya mkataba wenyewe kusainiwa, si wananchi wala bunge lao waliowahi kupata bahati ya kukiona kinachoitwa hati ya muungano...ni muungano wa Ikulu.


It was just a one man show.
Na ni katika muungano/mkataba huo hapo ndipo yalipo makaazi ya kile kinachodhaniwa kuwa ni laana ya hii nchi.
"[/h]
Mwisho wa kunukuu, ni wakati sasa wa serikali ku come out in the Open na kutoa fursa ya wananchi kuamua kama wanauhitaji au vinginevyo.
Msimamo wangu siku zote ni kuwa Zanzibar ni nchi kwa maana ya Ki-jiografia na wala si taifa na wala haina sifa ya kuwa taifa, bali ni sehemu ya Tanzania, soma link hiyo hapo chini ili muone sheria za kimataifa za utawala na mipaka ya bahari zinavyoonyesha, hivyo kabla hata ya kuungana, Tayari Zanzibari ilikuwa ndani ya Tanganyika

Fuata link hii : United Nations Convertions on the Law of the Sea

Tuna mabingwa wa sheria za kimataifa wa mipaka ya bahari, kamaa vile Jaji Joseph Sinde Warioba, lakini nashangaa kwanini wanakwepa kuliongelea suala hili na kuliweka sawa, wapo tayari wasijulikane specialization yao ili kukwepa kuombwa uafafanuzi juu ya hili.
 
Mkataba kama huo kisheria unakuwa 'null and void abnisio.yaani unachakuliwa hakujawahi kuwepo mkataba mbele ya jicho la sheria
 
Mkataba kama huo kisheria unakuwa 'null and void abnisio.yaani unachakuliwa hakujawahi kuwepo mkataba mbele ya jicho la sheria
Maseto Bado sijakupata hapo, unaweza ukafunguka zaidi?
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom