WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
Njia tatu mkimaanisha three lanes?
hizi njia tatu zilikuwa zinachanganya sana hata kama zinasaidia kupunguza congestion wakati wa peak hours!
Kwamba zimeondolewa is news to me.Na kwanini zitumike kwa mawaziri na wengine walioteuliwa? kwani watu wengine hawana haraka? Huwa inaniudhi sana niko kwenye traffic jam halafu inakuja gari ya serikali au jeshi inavunja sheria za barabara na kupita kama vile wengine hamna haraka.