Mheshimiwa huyu, akihojiwa na TBC kuh bunge hili, amesema, pamoja na mengineyo, kuwa:
Kuna wabunge wenye taaluma ya sheria wametumia bunge kuonesha ujuaji wao kuliko 'waliobobea' kwenye sheria.
Wabunge hao 'wajuaji' wanataka kutafuta umaarufu kupitia bunge
My take:
Sikuwahi kumwona mh huyu akitoa mchango wowote bungeni, hivyo nadhani yuko hodari kuupepeta nje ya bunge kuliko ndani ya bunge.
Anasumbuliwa na wivu kwa wale wenye 'kitu' kichwani, wanapotumia kujua kwao kwa manufaa ya nchi.
Siasa zinaendana na umaarufu. Ni bora kwa mwanasiasa yeyote kutafuta umaarufu kupitia majukwaa kama bungeni, badala ya njia nyinginezo kama hongo, upendeleo (wa viti maalum - kama mheshimiwa huyu alikopitia hadi kuibukia mjengoni).
Bado ana gamba usoni - linalomfanya asijue wananchi wanataka nini.
Yeye, kama wabunge wenzake, wako bungeni kuwakilisha u-ccm wao badala ya wananchi