Maoni ya madaktari baada ya Hotuba ya JK!-Ole wako ukiugua..utakiona!

Nafikiri wewe, Mkandara na wengine wengi ndiyo mlikuwa mnalilia warudi kazini kwa usemi wa Bora Dokta na si Dokta Bora.

Sasa mlichokitaka mtakipata. Kama ni mauwaji, sisi sote tumefanya kwani hatukuwaunga mkono.

Acha tufe sana tu ndiyo tutatia adabu maana akili zetu hazina akili.

Ni UUWAJI kutafuta mchawi wakati Mchawi ni wewe mwenyewe/mimi mwenyewe........

Anyway, AIDS itasaida ikishirikiana na malaria kupungiza Watanzania.

Acha liende hadi ligotaGE.

Kwa kadri nijuavyo mimi madaktari kuendeleza mgomo baridi ni kuendelea kuua wananchi pasipo na sababu ya msingi
Kama wakiamua ni bora watangaze mgome na wasiende kabisa kazini ili serikali ijue nini cha kufanya kuliko kwenda na kuacha wtu akijifia.....huu ni uuaji live kabisa
 
Back
Top Bottom