Maoni na ushauri wenu vitanisaidia katika hili

rehema nyuda

Member
Dec 30, 2011
49
5
Nina mchumba ambaye tunamuda mrefu kidogo kwa sasa, mwanzo tulipokutana tukawa tunawasiliana kama marafiki wa kawaida lakini cku moja akanitamkia kuwa ananipenda na anataka tuwe wachumba ambao hatima yetu kujakuwa mume na mke, nami kwakuwa sikua na mtu mwingine nikamkubalia lakini nikamwambiwa anichunguze kwa muda nami ntafanya hivyo kwa upande wake.

Nikawa mkweli kwake nakumpa background yangu naye akakubali kilichoniboa kwake wakati tunaendelea kuchunguzana akanipigia sim nakusema nanukuu "mpenzi wangu nakupenda sana ili nisikusaliti naomba unipe penzi lako, amini kuwa mimi ndiye mumeo mtarajiwa" naomba ushari na maoni yenu wana JF.
 
ina maana ni wachumba lakini hakuna kula 'halua'?

sasa hapo mnachunguzana nini?

kuchunguzana si pamoja na kujua yote?
ya ndani na nje?
 
Sasa ushauri na maoni kuhusu nini?Hiyo kauli mbona inajielezea?Either unataka au hutaki.

Kama mna malengo hata huko mnaweza mkachunguzana (japo hulazimishwi) ili msije mkaanza kulalamikiana mkishaoana.
 
Kabla haujafanya chochote jiulize kwanza haya maswali. Je ni kweli anakupenda? Umeridhika naye awe mume wako? Ni mwaminifu kwako? ana mipango mizuri na wewe (Future)?
 
Aombwae radhi siku zote asipoelewa maana ya neno "SAMAHANI" husomeka muombaji radhi si tatizo, bali tatizo ni muombwa radhi.
 
Huwezi kumtambua mwenye virusi vya ukimwi kwa macho.....tafakari, amua, chukua hatua!
 
Achana naye huyo mwanaume anataka kukuvua chupi tu afu apotee zake.

Anaye taka kuoa...Anaoa tu, hata kama hajakuvua chupi....wewe ishikile tu chupi kwa kwenda juu ya kitovu....Ukiregeza ikafika chini ya magoti...Ujue wazi CCM kitashinda tena uchaguzi wakati wakugombea uraisi.
 
Kwa nje ameshakuchunguza bado ndani uzuri wewe mwenyewe ndio ulimpa go ahead ya kukuchunguza
 
dada angu asikuongopee mtu, huyo jamaa amekuambia yanayotoka moyoni bila kuficha au kutumia lugha za kungátangáta, najua ulitaka kuambiwa kwa lugha tamu lakini maneno hayo hayo anayoyasema lakini ki ukweli moyoni amekusudia kusema hayo.

hapa nataka kusema nini, kuishi katika ndoa ni kuchunguzana kila kitu na kufahamiana katika kila angle nini unapenda na nini mwenzio anapenda, wakati mwingine mtanakiwa kujaribu yote kujua unafurahia karibu vingi ndani ya mwenzako ( si lazima vyote mana hakuna aliye mkamilifu)!! hasa sex ni kitu muhimu saana kukijua kabla hujaingina ndoani..

nakuuliza, unamnyima saizi vipi ukiingia ndani ya ndoa ukamkuta hafanyi kazi vizuri au hasimamishi barabara? au vipo ukiingia ndani ya ndoa ukamkuta ni wale ambao saizi yake haikufikishi kunako?(maana amini hapa duniani watu wameumbwa kwa saizi mbalimbali sema siku hizi tu wanachakachua, yule aliyeumbwa kupokea small size siku hizi anapokea XXXXXX large), hapo si ndo utaanza kutoka nje kutafuta vingine? kwa nini usijue sasa kama unamfurahia kunako sita kwa sita?

si hili tu, haya yanapaswa kufanyika katika kila kitu, kuangalia kama mna hobby zinazoendana, kama mnaelewana mnapopanga mambo, kama mnasikilizana kama mkiambiana, kama mnarekebishika kama mkirekebishana... usipoyajua haya itakula kwako mbeleni na mtaishia kuachana. watoto wa siku hizi sio kama wale wa enzi za mwalimu utandawazi umewaharibu sana so inahitajika kuwafanhamu vizuri sana kabla ya kuoa!! hujiulizi kwa nini ndoa za siku hizi hazidumu? yote haya yanachangia nakuambia

ushauri: nendeni mkapime kabla ya yote na jaribu pia uonekama unaridhika naye kitandani, ukiona fyne, usimpe mara kwa mara na jaribu pia kuangalia katika mambo mengine ukiona nako safi ongea naye kimahaba zaidi kuharakisha ndoa... usimforce katika hilo usije ukapeperusha njiwa
 
Nina mchumba ambaye tunamuda mrefu kidogo kwa sasa, mwanzo tulipokutana tukawa tunawasiliana kama marafiki wa kawaida lakini cku moja akanitamkia kuwa ananipenda na anataka tuwe wachumba ambao hatima yetu kujakuwa mume na mke, nami kwakuwa sikua na mtu mwingine nikamkubalia lakini nikamwambiwa anichunguze kwa muda nami ntafanya hivyo kwa upande wake.

Nikawa mkweli kwake nakumpa background yangu naye akakubali kilichoniboa kwake wakati tunaendelea kuchunguzana akanipigia sim nakusema nanukuu "mpenzi wangu nakupenda sana ili nisikusaliti naomba unipe penzi lako, amini kuwa mimi ndiye mumeo mtarajiwa" naomba ushari na maoni yenu wana JF.

tukushauri nini tena na wakati unaiona red iyo
 
Unataka kumuuzia mbuzi kwenye gunia?mpe tu aonje ili ajue kama ni tamu au chungu.kama ni tamu lazima atangaze ndoa ila kama ni chungu subiri kibuti tu!
 
Kwani hujawahi kumpa mtu yeye ndio wa kwanza? kama ushawahi kuitoa mwanzo basi na yeye anagalau kakwambia maneno matamu kidogo aonje usimalize mapishi tuu,
 
Huyo mwanaume mshamba, tena usimkubali, na mpige chini fasta. Linabembelezea penzi kwenye simu!!! Angekuwa mjanja angekuwa ameshakuchojoa nguo zamani. wala usingekuja kuomba ushauri hapa, labda kutuhadisia utamu ulioupata...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom