hafugi midevu na kugombea sahani za ubwabwa?
Anaimba kwaya na mapambio, na kuomba pesa kwa wanao camerun..
hafugi midevu na kugombea sahani za ubwabwa?
Moderator please ondoa ujinga na ushenzi huu wote maana hapa tunajadili waraka wa CUF na hivyo mnapoanza kuzungumzia Uislaam vs Wakristu inaonyesha wazi kwamba chuki zenu hazina kipimo hata kidogo. Mbona Chadema walipowakilisha waraka wao hatukuona mtu akisema ni Ukristu... jamani mtajifunza lini kuwa wastaarabu..
Uzushi leta source siyo una bwabwaja bila source?? (sema keyboard) kilaza mkubwa wee
mfuateni Sheikh-twain wa migomigo huko aliko mkaunde jamhuri yenu ya wapenda ubwabwa na wafuga midevu, Tanzania hamtaitawala!
Mkuu wangu wala usinishangae kwa sababu Uislaam sio watu bali ni DINI.. Vivyo hivyo Itikadi ya chama sio mapenzi ya watu waliopo isipokuwa Dira yake na itikadi hivyo unasimama na wale wenye mtazamo sawa na wewe hivyo ndani ya Chadema wapo wachawi, wanafiki, Mafisadi, wakristu na waislaam sawa na unavyoukuta mchanganyiko ktk sehemu yoyote ya kijamiii..Hao ndio chadema na uislam na waislam..nakushangaa unapokuwa sehemu ya kikundi hiki cha chadema lol..
Jamani, muacheni sheikh ubwabwa Topical alale awahi swala ya alfajiri maana ya jioni mmemkosesha, kafura tu kwenye keyboard...! Simple logic..katika watu saba, mmoja tu ndiyo mkristo (mwenye sigda..hahaha)..uwiano wa ajabu kabisa. U canot deny!. Anyway, ijapokuwa hatuoni km wana hoja, tuwaache wanoona wanayo wajadili kwa hiii thread, tusijaze server za kuchafuana na watu ambao walishachafuka..mwisho wa siku na cc tutachafuka buree!
Kwani haya waliyajua lini? Mbona wakati wa kupitisha walikuwa wanashangilia tu haya mapendekezo mbona hawakuyatoa?Mapendekezo yote hayo yakifanyiwa kazi basi Mchakato wa katiba mpya utatuletea katiba tunayoitaka.EXCELLENT CUF.Endeleeni kututea watanzania.
Mkuu wangu wala usinishangae kwa sababu Uislaam sio watu bali ni DINI.. Vivyo hivyo Itikadi ya chama sio mapenzi ya watu waliopo isipokuwa Dira yake na itikadi hivyo unasimama na wale wenye mtazamo sawa na wewe hivyo ndani ya Chadema wapo wachawi, wanafiki, Mafisadi, wakristu na waislaam sawa na unavyoukuta mchanganyiko ktk sehemu yoyote ya kijamiii..
Kizuri ni kwamba mimi Muslaam na nilichofundishwa ni kufuata msahafu na sii watu, tofauti na wao waliofundishwa kwamba MTU na watu ndio huifanya dini kuwa ya kweli ama sii ya kweli... Hivyo nipo Chadema kwa sababu malengo yake na ari iliyopo ndio yenye uthubutu kuliko vyama vinginevyo.
Sikuwa CUF sii kwa sababu ya dhana ya wao kuwa ni Waislaam, isipokuwa CUF imekitita zaidi ktk maslahi ya Zanzibar ambako majority ya wananchi wake ni Waislaam. Wakristu wengi wanashindwa kutofautisha tamaduni za watu, mila na desturi zao kuwa hazihusiani na DINBI kwa maana dini kwao ni WATU na mafundisho yao..
- Nilikuwepo na nadhani umenielewa, tuendelee na mada hii.
Mkuu CUF wamekuwa constructive kwa sababu wamejumuisha na mawazo ya watu mengine yakiwa yale tuloyazungumza hapa, lakini yote kwa pamoja inaonyesha wazi kwamba hapa tuna Upinzani wa kisiasa zaidi ya kuitafuta katiba Mpya. Sioni sababu ya wao kwenda Ikulu ikiwa mapendekezo haya yangeweza kuwakilishwa kwa njia ambazo rais amezungumza maana tunachorekebisha sasa hivi ni SHERIA sio muswada tena.. Mimi nilitegemea labda walikwenda Ikulu kupinga muswada ule kuwa sheria maana wamekwenda wakilisha mawazo pinzani na muswada kutokana na kwamba hata wao walizidiwa Bungeni. lakini sii kwa kutaka kurekebisha Sheria..Hii ndio hatua tuliyopo sasa na maaadam waliikubali sheria hiyo kupita hakuna sababu ya kwenda Ikulu tena kwani sii jukumu wala kazi ya rais kufanya marekebisho ya sheria..@mkandara
Nafikiri maoni yao yakipelekwa bungeni tena (wakati wa marekebisho) yataboresha sheria hii..
Plus yale mapendekezo ya chadema..
wakati huo labda sisi watanzania tutapata mjadala mzuri tulioukosa baada ya chadema kuchafua hali hewa..
Mimi naona CUF wako very "Constructive" wameacha mambo ya kutaka kuvunja muungano etc..
Actually wanafanya siasa za kistaarabu sana kwa sasa..big up..
Uislaam ulipokuja Afrika tulikuwa na mtazamo dhati au Hasi? na imekuwaje watu kama wewe na mimi tumekuja kuwa Waislaam wakati 100% ya waafrika hatukuwa na Uislaam.You will never grow kwenye chama chenye mtazamo hasi kwa kila muislam na uislam..
Unachoweza kufanya ni kujipendekeza tena kwa kuondoa thamani yako na uislamu wako ili ufanane nao..otherwise they will judge you kutokana na dini yako na siyo mchango wako kwenye taifa na chama..
Nakusikitikia tu kwamba kuna muislam anajihusisha nacho atakuwa na moyo wa chuma, wasipobadili kuchukua nchi ni ndoto trust me..
You will never grow kwenye chama chenye mtazamo hasi kwa kila muislam na uislam..
Unachoweza kufanya ni kujipendekeza tena kwa kuondoa thamani yako na uislamu wako ili ufanane nao..otherwise they will judge you kutokana na dini yako na siyo mchango wako kwenye taifa na chama..
Nakusikitikia tu kwamba kuna muislam anajihusisha nacho atakuwa na moyo wa chuma, wasipobadili kuchukua nchi ni ndoto trust me..
Uislaam ulipokuja Afrika tulikuwa na mtazamo dhati au Hasi? na imekuwaje watu kama wewe na mimi tumekuja kuwa Waislaam wakati 100% ya waafrika hatukuwa na Uislaam.
Mkuu dini ni ELIMU ya Uungu wala sii watu, na Chadema hata wakiwa wote wakristu bado nitakwenda nao sambamba kwa sababu wao watendelea kuamini wanachoamini nami nitaamini nachoamini hata kama nawashangaa kwa nini wanaamini Yesu ni Mungu. Hii ni imani yao na nitaiheshimu japokuwa sikubaliani nayo na kwa kuamini hivyo hakuwafanyi wao wajinga zaidi kwa sababu sisi sote tunazifuata dini hizi ili kuboresha Ubinadamu wetu. Zaidi ya yote haya kama nisipokuwa nao watawezaje kuujua Uislaam kama ni dini na sii watu?..
Sitashangaa kwenye ilani ya CUF mwaka 2015 wakitoa ahadi kuwa wakishika nchi kila mwenyekiti wa kijiji lazima awe Sheikh
Mkuu siwafuati Chadema kwa sababu ya kimaslahi wala kufikiria kupewa nafasi ya uongozi pale.. Laa hasha na hata kama wakinipa sintokubali kwa sababu mtazamo wangu kiitikadi ni tofauti na Chadema ingawa nawakubali kwa dhati wanachopigania. Madai kaa yako nimeyasikia sana hasa nilipokuwa Bongo, vijana wengi walifiiria natafuta kazi au madaraka kwa sababu kwao wao uongozi ni KULA..Wewe labda ubaki tu mbeba faili (msaidizi) wa kina slaa na mbowe kwasababu hawawezi wakakupa nafasi hata ufanyaje kwakuwa ni muislam na kwasababu wana mtazamo hasi kwa waislamu na uislam then usitegemee utakuwa mkubwa huko chadema na ukabeba chadema flag (si kwasababu huna uwezo kwasababu unavuga ndevu na unavaa kiislam) labda uanze kunywa pombe kama wao....hiyo ndio grow nayoisema mimi siyo ya kwenda msikitini ..lol
Hujajibu swali. Mrs CCM ana mtazamo gani kwa wakristo?
Mkuu siwafuati Chadema kwa sababu ya kimaslahi wala kufikiria kupewa nafasi ya uongozi pale.. Laa hasha na hata kama wakinipa sintokubali kwa sababu mtazamo wangu kiitikadi ni tofauti na Chadema ingawa nawakubali kwa dhati wanachopigania.
Sii wapiganaji wote huenda msituni mkuu wangu mimi nipo Chadema kwa sababu chama hiki kina uhtubutu wa kupigania japo machache tunayoyataka, lakini sina nia wala haja ya kuwa kiongozi..Nitaendelea kuwapa mkono hadi siku watakapo pindisha maazimio..Kama alivyosema Nyerere CCM sio mama yake! ndivyo navyovitazama vyama vya kisiasa nchini - CCM mkuu wangu utanisamehe, dhulma walokwisha ifanya kwa wananchi ,Uislaam unatukataza wala kukurubia na chama kama hiki hivyo narudia tena Uislaam sio WATU bali ni dini..