Maoni kuhusu katiba mpya

Mtumiabusara

JF-Expert Member
Nov 18, 2009
473
40
Je ni kitu gani ungependa kiwe kwenye katiba mpya?


  1. DEREVA: Trafiki wasiwepo barabarani
  2. MWANAFUNZI: Mitihani isiwepo, baraza la mitihani lifutwe
  3. MFANYABIASHARA: TRA itaifishwe
Wewe Je?
 
4-jamii forum ipate fungu toka serikali kuu.
5-kuwe na marais wawili yani rais mkubwa na raisi mdogo
6-wabunge wapewe bajaji .
 
Back
Top Bottom