MAONI: Kama ningekuwa JK

Fitinamwiko

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
4,803
1,416
1) Ningetumia chaguzi hizi za ndani ya CCM kusafisha wala/watoa rushwa. Viongozi wote wa serikali wanatokana na CCM, nidhamu ya juu ndani ya chama, mkondo ungetiririka kwa urahisi serikalini.
2)Liwalo liwe, wote wenye hatia ya kutoa/kupokea rushwa wangeenda jela. Ningejenga utawala wa sheria kwa next Rais
3)Otherwise; Ningejitokeza hadharani kutetea mtandao na kumweka mtu kama nilivyowekwa. Muda unakimbia huku JK akiwa amechanganyikiwa hajui cha kufanya, kila kitu kipo out of control
4)Uamsho, Ponda na CDM sio wanaosababisha nchi isitawalike, Makundi ndani ya CCM ndio yanayosababisha both chama na serikali yake visitawalike. I would Control CCM first, every thing else will fall into basket.
5)Ningehakikisha Katiba mpya kwa manufaa ya watanzania, CCM imeshindikana therefore I'll careless about it(CCM) na kuhakikisha 2015 uchaguzi unakuwa huru

6) Kama haya yote yangenishinda? ningeitisha uchaguzi wa ghafla na kutokomea
 
1)...

Mkuu Maoni yako ni mazuri, ila hii sentensi kuchanganya Uamsho, Ponda na CDM umekosea.

Vikundi vya kina Ponda na Uamusho ni vya wahuni wachache wa kiislamu wenye nia ya kuleta vurugu na vita vya kidini yaani Jihad.

CDM ni chama cha siasa kilichosajiliwa, chenye haki zote kikatiba na kisheria kama ilivyo CCM na vyama vingine vya siasa nchini, chenye lengo la kuchukua madaraka ya kuongoza dola kwa njia ya kidemokrasia.

Wana CCM wanapata kiwewe kuona kwamba wamechokwa na wananchi na kwamba hawatapata ridhaa ya wananchi ili kuendelea kuongoza ( kwao kutawala) na kuendelea kuchuma rasilimali zetu na kujilimbikizia utajiri
 
1) Ningetumia chaguzi hizi za ndani ya CCM kusafisha wala/watoa rushwa. Viongozi wote wa serikali wanatokana na CCM, nidhamu ya juu ndani ya chama, mkondo ungetiririka kwa urahisi serikalini.
2)Liwalo liwe, wote wenye hatia ya kutoa/kupokea rushwa wangeenda jela. Ningejenga utawala wa sheria kwa next Rais
3)Otherwise; Ningejitokeza hadharani kutetea mtandao na kumweka mtu kama nilivyowekwa. Muda unakimbia huku JK akiwa amechanganyikiwa hajui cha kufanya, kila kitu kipo out of control
4)Uamsho, Ponda na CDM sio wanaosababisha nchi isitawalike, Makundi ndani ya CCM ndio yanayosababisha both chama na serikali yake visitawalike. I would Control CCM first, every thing else will fall into basket.
5)Ningehakikisha Katiba mpya kwa manufaa ya watanzania, CCM imeshindikana therefore I'll careless about it(CCM) na kuhakikisha 2015 uchaguzi unakuwa huru

6) Kama haya yote yangenishinda? ningeitisha uchaguzi wa ghafla na kutokomea

Bahati mbaya ni kwamba kamwe hutakuwa JK!
 
Nikipata nauli, mjini nitakufuata mjomba, pole sana na kibarua kigumu chakutaka dunia kuwa kijiji
 
Ningekuwa JK..... Dah! Kuongoza nchi sio mchezo.....

Ningekuwa JK..... Ningehakikisha kwa namna yoyote na concentrate kwenye kitu kimoja tu miaka yangu ya utawala... Mfano elimu. Nisingejali chochote kingine miaka 10 yote zaidi ya kuwekeza kwenye elimu tangia msingi mpaka vyuoni. Quality education....
 
Back
Top Bottom