Maoni: Ikitokea muungano ukavunjika, je turudie jina la Tanganyika, au tutafute lingine?

THE GEEK

Member
Dec 10, 2010
90
32
MAMBO VIPI WATANGANYIKA WENZANGU,

KUTOKANA NA CHOKOCHOKO ZA MUUNGANO ZINAZOENDELEA,

IWAPO MUUNGANO UTAVUNJIKA, NI WAZI JINA TANZANIA LITAKUFA

KWA SABABU TANZANIA = TANGANYIKA + ZANZIBAR + IA

SASA JE TUJIITE WATANGANYIKA AU TUJIITEJE?

BINAFSI JINA TANGANYIKA SILIPENDI KWA KWELI, CJUI KWA NINI.

AU TUJIITE NCHI YA KILIMANJARO, MAANA KILIMANJARO NI MAARUFU ZAIDI HATA YA TANZANIA, NA ITATUSAIDIA KWA MENGI.

AU HATA SERENGETI, NI BORA KULIKO TANGANYIKA.

Ni mtazamo binafsi wajameni.

Eid Mubarak
 
Kwa upande wangu naona jina halitatupa shida sana ila kivumbi kitakuwa pale mtu atakapojikuta hana kazi kama ilivyomkuta Gorbachev wakati USSR ilipovunjika.
 
Hakuna kubadilisha jina TANZANIA maana utafufuaje jina Tanganyika wakati lilishazikwa kwa bahati ikazaliwa Tanzania? anayejiondoa ajiondoe tu maana hata sasa wengine wanajina lao
 
Hakuna sababu yoyote inayoweza ikafanya muungano uvunjike.
<br />
<br />
Mkuu mbona utavunjika kama ile hati iliyosainiwa kimbindi cha muungano haionekani na pia wazanzibar wenyewe washaanza kutubagua wabara kwakuwachomea biashara zao we unafikiri hili litavumilika na inachonikera ni wao kutuchagulia rais sijaipenda hata kidogo
 
Mi naöna muungano tu sioni umuhimu wake. Ni bora wakabaki wenyewe na ss tujitemee. Na tubaki vilevile Tanganyika. Ni mtazamo wangu tu
 
... Kuna England, New Zealand, Holland, Iceland, Swaziland, etc. Kwa mtaji huu tukijiita BONGOLAND itakuwa muafaka. Maana yake ni nchi ya watu wenye 'akili' ...
 
naamini jina la Bongoland litasaidia kuwaamsha waliolala huku wakitemea udenda juu ya rasilimali lukuki, miaka 50 baada ya 'kujitawala'
 
Natamani zanz wawe na bendera yao. wimbo wao wa taifa. katiba yao. sarafu yao. nione muungano utakuwa wapi.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom