Maongezi yangu na Daktari wa Muhimbili leo

na huyo Gratian Mkoba mpumbavu. Kazi kuhongwa na kuishia kuwasaliti wenzao. Mpuuzi. Walimu waunge tella kwny mgomo wa madaktari, waweke madai yao mbele.
 
Hoja ni maslah au vitendea kazi au waheshimiwa kutibiwa nje? mbona mnayumba madr?

maslahi na mazingira ya kazi vyote vyadaiwa kwani Hata ukimlipa daktari ten million lakini mazingira yasiboreshwe kwa maana ya vifaa mazingira ya usafi na medical supplies unafikiri itatosha maana bado wagonjwa watakuwa hawaponi na uuaji utaendelea tu na kwa sasa maslahi yakiwa madogo unafikiri dktari atakuwa nautulivu wa kuweza kuwahudumia wagonjwa wake wewe unaamini hivyo wakati ukienda hopitali dr asipokusikiliza vizuri unatoka hata huamini kama umetibiwa kweli ndivyo tunavyotaka huduma ya afya iwe

Huduma ya afya haihitaji ubabaishaji nafikiri madr nao wamechoka kuua bila ya kukusudia serikali
 
Mi naunga mkono madai ya madktari all of them.
Inatakiwa hawa tuliowapa .
Dhamana ya uongozi wakubali tu hawako serious.
Kama kweli ni kwa dhati wanaamini fani hii ni muhimu kiasi hicho, mbona hawaithanini kwa matendo?
Mfano, mtu mwenye kupenda gari yake sana, hawezi kubana matumizi ya repairs, polish, handling with care huweza hata kuingia gharama ya kujenga garage kihifadhi isipate madhara
habari ndio hio
tuko nyuma yenu, wengi tu
 
Serikali dhaifu mpaka inaenda mahakamani kulia ili iwatete wao waovu. Na walimu nao wafuate nyayo mpaka kieleweke. Nchi inaendeshwa bora hata nyumba ya mtu. Halafu mnabisha jk si dhaifu.
 
hapa nilipo naumwa kifua sana, lakin siko tayari kutibiwa na 'Uncomfortable doctor'.

Wacha wagome wapewe haki zao. Nikifa mimi ndugu zangu watajfunza kuchagua viongoz bora na kuacha uoga.
 
mtazamo wako mzuri sana..kila kiongozi wa hii nchi akitaka kutibiwa kwa fedha ya umma atibiwe humu humu..akitaka kwenda nje atumie fedha yake
 
Inatakiwa busara ya hali ya juu sana kupita uwezo wa kawaida wa viongozi wa sasa na dhamira ya kweli na dhati kumaliza tatizo hili.

Basically inafika wakati Madaktari wanakosa the best alternative ya kudai haki zao na mazingira bora ya kazi zaidi ya hii ya kugoma.

Lakini pia, kutimiza madai ya Madaktari kunahitajika pesa za ziada ambazo, kama serikali iko very very serious na ina dhamira ya kweli hizo pesa zinaweza kupatikana simply kwa kukusanya kodi vizuri, kuziba mianya ya rushwa, kupunguza matumizi na kubuni vyanzo vingine vya fedha na mapato.

Lakini pia, kutekeleza madai ya madaktari, ni kufungua njia ya sekta nyingine kama Elimu, nk kuanza kudai haki yao na hivyo kusababisha migomo zaidi.

Ndiyo maana nasema inatakiwa busara ya hali ya juu sana. It is about total change and 100% commitment kumaliza mgomo huu wa Madaktari.

Na kama kweli Madaktari wamedhamiria as they sound this time, the government will never have any alternative other than bowing down. Wasipo bow down na watu wakafa, what happened last time will happen this time massively: Wanaharakati will join mgomo, Wanafunzi; Raia, nk.

Wasipokuwa makini, hii pia ni kete muhimu kwa opposition.

Kama Madakatari wameamua kweli kujitoa muhanga, they just remind me of some of the readings: "Ili wengi wapone, moja lazima afe kwa ajili yao". Literally means, kwa madaktari kujitoa na raia kuathirika au kuwa wahanga ikiwepo vifo, it is only way Serikali ya Kidikteta itasikia na kubadilika (Utawala wa Kidikteta si lazima utumie mabavu, ila kutowapatia raia haki zao ni aina ya Udikteta).

Siungi Mkono Mgomo maana najua wengi watakufa na kaathirika, lakini kama Serikali imeweka pamba masikioni, Goo . . Gooo Doctors on Strike.

Rwanda inaheshimiwa sana Duniani sasa kwa better performance because of Genocide. Kama ina maana kupitia mgomo huu, tanzania will change for better, then let it me. It is a bitter pill to swallow, but we will finally get cured.

Mungu Ibariki Tanzania!
 
Back
Top Bottom