Vip vijana wa arusha wanaozuga kufuga rasta ili wapate wazungu, kumbe ni majambazi wa kutupwa.Vijana wa visiwani Zanzibar ni balaa zaidi maana huwaza kupata wazungu/ waarabu wa kuwasaidia ikiwemo kulazimisha ndoa
Real correct, watu wameanza kutupia mpira mfumo wa elimu. Hivi kama uliridhika na mfumo wa uongozi katika nchi yako ya nini kusema mfumo wa elimu ndio chanzo cha hili tatizo. Pia tunasahau na malezi ya familia zetu.Wanafiziolojolia wanasema kuna makundi matatu ya aina za binadamu
1:great thinkers, hawa hupenda kujadili ideas mpya hawa wapo (intellectual) yaani wanapenda sana kufikiri na kutatua matatizo hasahasa ya kisayansi na hawa ndio wanasayansi wa baadae
2:kundi la pili hawa ni watu wa events yaani hawa wao ni kujadili matukio tu mwanzo mwisho hakuna kinachohusu mpira asikijue mtu wa aina hii kila tukio kwake ni fyraha kulijadili pasipo kujali kama lina faida au la.
3:kundi la tatu hawa wao ni kujadili maisha watu kila kukicha hawa huwa hawaangalii maisha wanayoishi wao ila ya wengine wajiyakosa kuyajadili siku kwao inakua kama haijapita vile mifano mizuri ni wale wanaounda makundi kwenye mitandao ya kijamii kama vile #team simba eti wanashabikia diamond na mtu yeyote atakayemponda diamond wao ndio watakao mshughulikia,dahh yaani mtu anaacha kuangalia mustakabali wa maisha yake anaanze kujadili maishi ya mwenzake tena unamshabikia kabisa si vibaya kuwa na mwanamuziki umpendaye ila kuna mipaka inavukwa hadi mnageuka kero. NADHANI HAYA MAKUNDI MAWILI YANAISUMBUA SANA TANZANIA. TUBADILIKE TWAWEZA (TOGETHER WE CAN)
Napata wasiwasi na uzito wa tafiti yako in regards on what variables you have used but getting 96% I find it hard maana najiuliza what statistical test umetumia kupata result hizi..Vijana wengi wa kitanzania (Sehemu za miji mikubwa ikiwemo Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya) 96% ya maongezi yao ni pumba tupu na vitu visivyowasadia katika kujikwamua kimaisha ikiwemo mpira wa ulaya (FA, EPL, UEFA n.k.), Wasanii wa bongo na skendo zao, namna mheshimiwa anavotumbua majipu. Ni ngumu kumkuta kijana wa miaka 18 - 35 akiongea vitu vya maana vya kujenga uchumi (binafsi, jamii na taifa) kwa muda unaozidi dakika 5 mfululizo bila kuchomeka Tusi.
Hivi interview/kazi huwa mnapataje aisee? na bomba la mafuta tumeambiwa linapita Tanzania kweli namna hii mtapata kazi kweli? au ndo watajaa wa kenya kama kawaida? (Mfano STRABAG, Nakumatt?)
NB: Fuatilia kwa wauza magazeti, vijana wengi hununua magazeti ya michezo, udaku n.k. na kuacha magazeti yenye fursa na habari za maana kwa mustakabali wa nchi. Sad!
Vijana wetu ni bomu linalosubiri kulipuka
Sio vijana tu hata wazee. Ukitaka maongezi yanoge mpira!!!!???? baada ya mpira kinachofuatia ni mziki!!!!Vijana wengi wa kitanzania (Sehemu za miji mikubwa ikiwemo Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya) 96% ya maongezi yao ni pumba tupu na vitu visivyowasadia katika kujikwamua kimaisha ikiwemo mpira wa ulaya (FA, EPL, UEFA n.k.), Wasanii wa bongo na skendo zao, namna mheshimiwa anavotumbua majipu. Ni ngumu kumkuta kijana wa miaka 18 - 35 akiongea vitu vya maana vya kujenga uchumi (binafsi, jamii na taifa) kwa muda unaozidi dakika 5 mfululizo bila kuchomeka Tusi.
Hivi interview/kazi huwa mnapataje aisee? na bomba la mafuta tumeambiwa linapita Tanzania kweli namna hii mtapata kazi kweli? au ndo watajaa wa kenya kama kawaida? (Mfano STRABAG, Nakumatt?)
NB: Fuatilia kwa wauza magazeti, vijana wengi hununua magazeti ya michezo, udaku n.k. na kuacha magazeti yenye fursa na habari za maana kwa mustakabali wa nchi. Sad!
na wajinga ndio waliwao.....Maisha yenyewe mafupi acha wafurahishe nafsi zao
Niliiona Hii thread siku nyingi nikajipa muda nianze kufikiria kwanza.Mtazamo na fikra zangu unàangalia vitu vitatu vikubwa. Cha kwanza ni ukosefu wa elimu..elimu bora na Cha pili ni huduma duni za afya na Cha tatu ni umaskini. Kila kimoja naona kinamchango mkubwa wa kuzaa watoto mbumbu au watoto hamnazo. Mfano mama mjamzito akiwa katika hatua za kujifungua "true labor " vilevile akawa hana nguvu za ku'push.'si ajabu akakosa msaada wa mkunga mapema hata kama yupo kituo cha Afya na kujikuta anazaa 'under score ' baby...mtoto aliyechoka ambaye hataweza kupata oxygen mapema ambayo ni ya msingi kwa maendeleo ya ukuaji wa mtoto kiakili. Hii inaweza kusababishwa na uchache wa watumishi na pia ukosefu wa maadili uliosababishwa na sababu kama Hii.Vijana wengi wa kitanzania (Sehemu za miji mikubwa ikiwemo Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya) 96% ya maongezi yao ni pumba tupu na vitu visivyowasadia katika kujikwamua kimaisha ikiwemo mpira wa ulaya (FA, EPL, UEFA n.k.), Wasanii wa bongo na skendo zao, namna mheshimiwa anavotumbua majipu. Ni ngumu kumkuta kijana wa miaka 18 - 35 akiongea vitu vya maana vya kujenga uchumi (binafsi, jamii na taifa) kwa muda unaozidi dakika 5 mfululizo bila kuchomeka Tusi.
Hivi interview/kazi huwa mnapataje aisee? na bomba la mafuta tumeambiwa linapita Tanzania kweli namna hii mtapata kazi kweli? au ndo watajaa wa kenya kama kawaida? (Mfano STRABAG, Nakumatt?)
NB: Fuatilia kwa wauza magazeti, vijana wengi hununua magazeti ya michezo, udaku n.k. na kuacha magazeti yenye fursa na habari za maana kwa mustakabali wa nchi. Sad!