Maongezi na wazazi wangu jana usiku.

Walinikalisha kuniuliza kama nimeshapata mchumba au rafiki nisisite kumpeleka nyumbani. Nikawaambia sawa nikimpata ntamleta.
Nikawailiza mahari inakuwaje kulingana na mila zetu?
Wakanitajia, nikapiga hesabu nikaona mahari inafika kama milioni moja na laki 2.
Nikawaambia wazazi wangu kuwa, kwakuwa nina shamba kisarawe, nikipata mchumba wamwambie alete matofali ya kuanzia kwa ajili ya nyumba ambayo itakuwa yangu na mume wangu.
Baba yangu alipinga na kuongea maneno yote mabaya.
Je nilikosea nini?
Au aliona namzibia hela za bakuli la komoni?
college girl (siku hizi JF imevamiwa) lol, mpk watoto waliovunja ungo nao wapo humu
 
Walinikalisha kuniuliza kama nimeshapata mchumba au rafiki nisisite kumpeleka nyumbani. Nikawaambia sawa nikimpata ntamleta.
Nikawailiza mahari inakuwaje kulingana na mila zetu?
Wakanitajia, nikapiga hesabu nikaona mahari inafika kama milioni moja na laki 2.
Nikawaambia wazazi wangu kuwa, kwakuwa nina shamba kisarawe, nikipata mchumba wamwambie alete matofali ya kuanzia kwa ajili ya nyumba ambayo itakuwa yangu na mume wangu.
Baba yangu alipinga na kuongea maneno yote mabaya.
Je nilikosea nini?
Au aliona namzibia hela za bakuli la komoni?
Bibie stori yako naona haijitoshelezi. Mzee wako amekasirika kwa sababu ipi hasa? Wazo la umiliki wa nyumba kwa pamoja na mmeo mtarajiwa au mahari ya 1.2m?
 
mahali si pesa tu jamani,ww kama binadam hujalelewa na baba na mama tu,na maadili yetu ya kiafrica lazima kuna mashangazi,binam,wajomba etc,mahali hugawanywa kwa watu wooote hawa kuonyesha shukrani ktk malezi ya binti,hivyo basi mahali ni kwa familia yote ya binti!huwezi kupewa matofali maana utachuua share ya watu wengine,pia tusibadilishe mila na tamaduni zetu dear tuachane na uzungu!
 
dah? Kaz unayo inaonyesha mding wako ni noma na inaonyesha ukifanya masihara yan kadir unavyo chelewa kumpeleka mumeo ndo mahar inaongezeka laki laki pole wee na cc wanaume kaz 2nayo kama ndo hvyo kwanza ding yako kabila gan isije ikawa ndo wale waporadh afe na elfu kumi mfukon kwa njaa
 
Mimi binti yangu hata Uji aliokunywa kufikia alipo muoaji atacontribute


binti yako ataishia kuchakachuliwa, kwasababu utampigia mpaka gharama za mazingira uliyoyatengeneza kumpata mamayake au babayake na mengineyo. jambo la muhimu inatakiwa ujue gharama zingine za mtoto alimaliza mtoto mwenyewe kwa kukuita baba au mama. mtoto anakuita mzazi wewe na si mtu mwingine kwakuwa wewe ndiwe mwenye majukumu ya kumuhudumia mtoto.
hata ukisema bintiyako ataolewa kwa milioni kumi bado haiwezi kurudisha gharama za malezi kwakuwa gharama nyingine huwezi kuziconvert into money.
 
Nazjaz sasa
we umekuwa kichekesho
changu humu ndani samahani dear
lakini nikisoma poster zako nyingi ni
unajiuliza na kujipa jibu hapo hapo dahhh
siku nikiona swali ntakupa jibu...
 
Nazjaz kumbe bado huja vutwa ndani!!hata mi pia cjasogeza nashakuru kwa hilo ntaanza michakato mda cio mrefu
 
ninaona wengi wenu mnashabikia mahari..............................uzoefu wangu ni kuwa mahari imepitwa na wakati na inachangia sana wanandoa wengi kuwa na migogoro hasa wanaumme hudhani wamemnunua mke.kwa hicho kimahari walichokitoa.............................madai ya uhur na haki kwa wananwake yataanza kushika kasi kama mahari zitafutwa.............................na mawazo haya ya Nazjaz ninayaunga mkono ya kuwa wazazi waache kuwafilisi watoto na madai kama haya ya mahari ila wawe chachu kwa kuangalia hata namna ya kuwawezesha ili waweze kujiendesha vyema..............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom