kukumdogo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 2,866
- 2,746
Kwakweli napenda kukuomba mimi binafsi na uyatilie mahanani maombi yangu. Tunajua vitu vingi vibaya vimesemwa juu yako lakini mimi naimani kubwa sana na wewe kwamba unauwezo wa kuikomboa hii nchi. Sawa watu wanasema wewe fisadi lakini kila mmoja ameona impact ya maamuzi yako kuwa yalikuwa na manufaa kwa nchi na taifa.
Maombi yangu kwako, kama inawezekana mtoeni huyo mizenguo pinda hicho kiti ukichukue wewe kwakuwa hakiwezi hata kidogo. La sivyo taifa litaangamia kwakweli.
Nawakilisha
kukumdogo jogoo
mtanzania mwenye uchungu na nchi