Brother James
JF-Expert Member
- Feb 21, 2012
- 233
- 172
Hii ni taarifa Kwa wale ndg zangu wooote waliokuwa wakisubiri fursa za kuomba nafasi za mafunzo ya Ualimu Kwa ngazi ya A-Stashahada (Certificate) na Shahada (Diploma) hususani katika vyuo vya Ualimu vya Serikali (34) kuwa rasmi katibu Mkuu Wizara ya Elimu anakaribisha waombaji woote waliomaliza Shule O/A Level kuanzia mwaka 2008 hadi 2013 kuomba mafunzo hayo. Zaidi fungua link hapo chini:
United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training
United Republic Of Tanzania - Ministry of Education and Vocational Training