Maombi ya kujiunga na Mpango wa Kazi Nje Nje yanakaribishwa

Mzalendo JR

JF-Expert Member
Jun 6, 2012
1,193
515
BAADA YA MAFANIKIO MAKUBWA YALIYOPATIKANA KATIKA MPANGO WA KAZI NJE NJE 2011, SHIRIKA LA KAZI DUNIANI KITENGO CHA UJASIRIAMALI (YOUTH ENTREPRENEURSHIP FACILITY) KWA KUSHIRIKIANA NA KITUO CHA TEHAMA CHA TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT) LINAKARIBISHA MAOMBI KUTOKA KWA VIJANA WAHITIMU WA VYUO VIKUU WENYE NDOTO NA MALENGO YA KUJIAJIRI KAMA WATAALAMU WA UJASIRIAMALI NA UKUZAJI WA BIASHARA KATIKA SEKTA YA TEHAMA (ICT ENTREPRENEURSHIP) ILI KUJIUNGA NA MPANGO WA KAZI NJE NJE KIPINDI CHA KUMALIZIA MWAKA 2012

MAOMBI YA KUJIUNGA NA MPANGO WA KAZI NJE NJE – TEHAMA YANAKARIBISHWA KUTOKA KWA VIJANA WENYE SIFA ZIFUATAZO:

Elimu – Shahada ya kwanza - TEHAMA
Umri – Miaka 26 – 30
Jinsia zote

Wazo

Wazo yakinifu la TEHAMA : AWE TAYARI KUJIAJIRI KUTOKANA NA WAZO LAKE BAADA YA MAFUNZO.

MUDA WA KUPOKEA MAOMBI NI KUANZIA TAREHE 10 HADI 22 OCTOBER.

KWA MAELEZO ZAIDI NA JINSI YA KUJIUNGA TEMBELEA TOVUTI ZETU www.yefafrica.org na www.ilo.org/daressalaam

AU

NENDA KATIKA KITUO CHA TEHAMA – TAASISI YA TEKNOLOJIA DAR ES SALAAM (DIT) www.itcoeict.dit.ac.tz

Simu: 0755758580

Source: wavuti.com - Opportunities
 
Back
Top Bottom