Maombi kwa dkt. Mengi kwa maslahi ya taifa na kwake binafsi

mchaichai

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
648
76
Nawasilishi ombi langu kwa watu mlio karibu na DR. REGINALD MENGI mkurugenzi mtendaji wa IPP..kama mdau mkubwa wa vyombo vya habari hapa nchi cc wananchi tunaomba makampuni yake hasa TV kurusha vipindi vya bunge live kwani wengine tunaweza kuona ITV na EATV na STAR TV tu katika meneo yetu TBC inakamata kwa kusuasua.Tuliheshima na kupenda sana STAR TV lakini nayo siku hizi uzalendo umewatoka wanapenda hela tu.Sasa kilio chetu ni kwa h Mengi tena utamsaidia hata channel kama EATV ambayo muda wote ni music hali inafanya kupenda na watu wachache tena vijana jobless (KUMRADHI). kama itatokea kurusha vipindi vya Bunge watu wataipenda sana channel hii na hata matangazo ya biashara yatapata coverage kubwa zaidi. nawasilisha
 
Back
Top Bottom