Manzi wangu hanipigi kabisa mzinga, hii imekaaje mazee!!!

Bora yako, wangu majanga Sana leo ameshanipiga mzinga na muda huu ananiita niende saloon alipoenda kusukwa eti anywe soda baridi..... Ss nimeshindwa kuelewa mm na unywaji wa soda yake unahusiana nn, wakat mchana kaishaniliza pesa
Mkuu huyo ni nyonya damu.. Na hadi uje ustuke utajuta... Kila unapompa andika baada ya mwezi Fanya hesabu... And jiulize uendelee au usiendelee... Unaweza kuta hesabu ya kununua pikipiki ya boda boda ingekuingizia ten ten daily
 
afu wadada wanaosomaga IT
dizaini kama wanaume..
hawanaga mambo ya kike kike...wagumu sana
wamezoea battle field/ kusoma IT kwa wanawake sio mchezo
Kama hawa hapa
1472268339358.jpg
 
Kuna mshikaji kitaa naye hivyohivyo alikuwa anajisifu demu wangu haombi pesa wala nn.
Siku kajipindua kaacha mkoba ndani akaenda grocery kidogo demu alitoka kwenda job.
Alipokuwa grcery kumbe huku nyuma demu karudi gheto ghafla akakumbuka jamaa alimwambia anaenda mnadani kununua ng'ombe asafirishe kuuza Dar.Yule demu akabeba mfuko wa jamaa wenye milio kumi na saba,kisha akarudi ofisini faster.Jamaa kurudi anakuta mlango umefunguliwa mkoba hamna.Akaanza kupagawa.Kumpigia demu cm inapokelewa na msaidizi anamwambia boss yupo kwenye kikao.
Jamaa akalizwa kimtindo huo huku akiamini demu wake sio mhusika wa tukio ila kuna mtu kamtaimingi.Sasa na ww jiamini,huwenda anakuvutia gepu akupige pakubwa zaidi kufidia na siku asizokuomba hela kama mwenzio alivyofanyiwa.
 
Haha umeuaaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom