Manyoya huwa yanawavutia mabinti

Binafsi huwa naona wale wenye manyoa kufunika miili yao kama vile bado hawajakamilisha evolution process.Ndio maana huwa nikikutana na mdada mwenye manyoa nakuwa na wasiwasi sana na uhusiano wetu.
 
Binafsi huwa naona wale wenye manyoa kufunika miili yao kama vile bado hawajakamilisha evolution process.Ndio maana huwa nikikutana na mdada mwenye manyoa nakuwa na wasiwasi sana na uhusiano wetu.

hahaha wewe acha bana mdada anakuwa nayo ya kiushikaji tu ..
 
napenda manyoyaa,mwanaume akiwa na manyoya miguuni naona anapendeza,na kifuani pia,ila ya kizungu hayavutii,napenda manyoya kipilipili.

Wewe ndo umenena Kati ya wote. Siri ya mtungi aijuaye kata. Let me tell you guys....they are like unique accessories for men and guess what....God made them purposely to comfort WOMEN. So cheusi and firstLady1 you are lucky to know this secret. ...Enjoy girls!!!!!!!
 
hahaha wewe acha bana mdada anakuwa nayo ya kiushikaji tu ..

Sawa mama,najua unasema hivyo sababu wewe hukutani nao, unakutana na wababa lakini tunaokutana nao tunajua kuwa wapo wengine akikufungulia tu blouse yake unajiuliza huyu ni mtu au nyani?
 
Mwenzenu wakwangu hana.nayatamani sana,i wish niyaoteshe.!
 
Mwenzenu wakwangu hana.nayatamani sana,i wish niyaoteshe.!

mbona leo mnanichekesha sana jamani au ni hii dawa ya kikohozi nlokunywa imenilewesha kidogo.
ucjali mpenzi wangu,hata kama hana hayo manyoa nina imani anavyo vitu vingine vizuri zaidi ya manyoa,kuyaotesha huwezi lakini si big deal.
imagine una njemba lenye manyoa lkn gobole halifyatui risasi.
 
Back
Top Bottom