Manyerere kugombea ubunge 2015

Mwitongo

JF-Expert Member
Jan 30, 2009
312
360
Kuna habari kwamba yule mwandishi Manyerere Jakson anajiandaa kugombea ubunge Jimbo la Musoma Vijijini mwaka 2015 kupitia Chadema. Inasemekana mipango yote inasukwa na ndugu yake Vincent ambaye kwa sasa anaongoza Musoma Mjini.
Mwenye taarifa zaidi atujuze!!
 
Wewe taarifa umezitoa wapi? Hapo ndipo ungepata habari zaidi.
 
What is new akigombea ubunge? Hata akitaka kugombea urais kama ana ubavu so be it. Kwa vile ubunge na ufanya biashara hauna tofauti, acha naye ajaribu bahati yake. Kama akina Nkamia wameweza kwanini yeye asigombee? Mie nikisikia kuwa Salma Kikwete anagombea ubunge kwao sitashangaa maana najua ni kutafuta kuongeza ulaji na dili.
 
Kuna habari kwamba yule mwandishi Manyerere Jakson anajiandaa kugombea ubunge Jimbo la Musoma Vijijini mwaka 2015 kupitia Chadema. Inasemekana mipango yote inasukwa na ndugu yake Vincent ambaye kwa sasa anaongoza Musoma Mjini.
Mwenye taarifa zaidi atujuze!!

...Ama ndio wewe Mwenyewe umekuja kupima upepo hapa JF???? :A S 39:
 
mhhhh huyu si ndio alikuwa anamtukana Mbowe alipoondoka Tanzania Daima na mwenzie Balile? Ameukosa u-DC sasa anataka kula matapishi yake? akae huko huko kwa Lowassa na Gazeti la Jamhuri lao kumtukuza EL
 
Sasa ugomvi wa Bowe na huyo manyerere unatuhusu nini chadema au aligombana na mbowe kama mwenyekiti wa Chadema...?
 
mhhhh huyu si ndio alikuwa anamtukana Mbowe alipoondoka Tanzania Daima na mwenzie Balile? Ameukosa u-DC sasa anataka kula matapishi yake? akae huko huko kwa Lowassa na Gazeti la Jamhuri lao kumtukuza EL
Kwa hiyo unathibitisha kuwa ukimtukana Mbowe CDM hauna chako hata kama anayoyafanya ni ya kijinga?
 
hii habari siiamini vile maana MKONO kachangia kwa kiasi kiubwa sana kwa VICENT NYERERE kuingia pale jimboni kwa hiyo unataka kusema anataka kumgeuka bwana mkubwa??
kajipange mkuu
 
Nchi ya chaguzi... Kila siku uchaguzi, kugombea, uchaguzi, kugombea n.k
 
Nakumbuka jk alivyoingia madarakani vichwa vya habari vya manyerere "kikwete kama nyerere, lowasa kama sokoine" nilivyo m sms kumuuliza ni kweli lowasa ni kama sokoine kwa kuwa wote ni wamasai? Akajibu ndiyo lowasa ni mchapa kazi kama sokoine, swali la pili, sokoine alikufa akiwa na jozi tano za viatu, na wala hakuwahi kumiliki hata volkswagen je bado wanafanana? Mpaka leo hajanijibu, naomba anijibu sasa kwa kuwa labda yuko huru zaidi
 
Nimjuavyo mimi huyu jamaa kwenye tasnia ya habari ni mpiganaji aliyefikia cheo cha kamanda!. Kama Uchadema wake ni yale magwanda, amekuwa akivaa vile hata kabla Chadema hajabuni gwanda!.

Kisiasa alikuwa Mtanzania ya Generali Ulimwengu akaasi na kuanzisha Tanzania Daima ndipo the King Maker (RA) akawanunua kwa bei ya Jumla yeye na mwenzake na wote ni chanda na pete na EL na gazeti lao la Jamuhuri ni tawi Rai funded by RA!.

Chadema kuweni makini sana na mamluki wa kisiasa watakao kuwa planted kwenye baadhi ya majimbo ili kuzuia yasiende opposition!.
 
Back
Top Bottom