zanzibar huru
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 218
- 108
Hiyo ndio kauli yake leo kwenye press conference Unguja
sasa kama mwandishi wa habari kwa nini asiweke wazi majina na listi ya hao wanaoifadhili UAMSHO?
Manyerere anaficha nini?
Msisahau kuwa huko nyuma aliwahi kusema najua wafadhili wote wa nje wa Freeman Mbowe na CHADEMA lakini akashindwa kuileta wala kusema ni akina nani hao.
Mwenye namba yake tunaomba amwambie aje hapa JF ajibu hizi tuhuma kabla vijana wetu hawajaingia kumfanyia ile kazi ya CSI