Manyaunyau: Kutoka uigizaji hadi usangoma!

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
:target:Amla paka mzima laivu!!!


5852680_orig.jpg


1800874.jpg


4190773.jpg


9274261.jpg


2.html


2.html
 
Huu ni ushetani na mapepolisim, ibilisi kashindwa kwa jina la Yesu Aliye Hai, Damu ya Yesu Iliyomwagika Msalabani Yatosha. Mnaotafuta damu za paka na nyingine mzijuazo inakula kwenu.
 
Kupagawa huku!...Maisha yanapokuwa magumu mtu aweza kuchukua maamuzi yoyote, bila kujali matokeo yake!
 
Kwani ni nani huyu. Alikuwa anaigiza wapi? Mbona simjui


history yake in nutshell


Anaitwa Dr Manyaunyau msanii aliyetokea kwenye usanii pale Kaole katika kundi lilotoa wasanii wengi maarufu wa filam nchini Tanzania.Kama unakumbuka katika michezo ya Kaole kama Radi na Fukuto iliyokuwa inarushwa katika kituo cha ITV alikuwa anajulikana kwa jina la Promoter Jongo akiwa na swahiba wake Juma Mchopanga na akawa anajishughulisha na mambo ya mapromotion kwa kuandaa maonyesho ya kisanii.Kwa sasa Dr manyaunyau anajishughulisha na shughuli zake za uganga hapa nchini na nchi za nje.Dr Manyaunyau anasifika kwa kula paka akiwa katika shughuli zake za kiganga na kujipatia umaarufu mkubwa hapa nchini.Kwa mawasiliano zaidi na Dr manyaunyau kwa maoni au ushauri piga no.0787-631291,0755631291,0712-553169 Email manyaunyau@yahoo.com

 
Sasa dunia inaelekea pabaya!! Tubuni na kuihubiri injili maana ufalme wa Mungu umekaribia
 
kula paka it is an art hata uganga wa kienyeji ni usanii na kucheza na mind za watu tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom