Manumba: Polisi lipizeni kisasi

Ukweli hatuna viongozi wala watendaji bali tuna kundi la wendawazimu wanaojua kuropoka kila wanapoona hadhira.

Kauli kama hizo katika tukio hili zimetolewa pia na Lukuvi, Nchimbi, Rubani.

Nchi yetu sasa ni ya visasi na sio kufuata sheria tena!!

Bosi wao mkuu ni kinara wa visasi, sasa tutegemee nini kwa wa chini yake?!!
 
Hata mie nimeshtuka sana na nikabaki na maswali mengi sana, huyu ni kiongozi?
tena wa uaslama?
au hajui kiswahili?
Mi nadhani hakukusudia kusema, alijikuta tu mdomo umefunguka

lakini kama ni kweli hizo ndizo fikra zake, ina maana hawezi kukasirika au kufanyia kazi maswal ya pale wananchi kama yeye, wanapata wazo la kupiza kisasi kwa wanaovunja usalama mitaani.
Atasimamiaje hilo??
 
Hapana, mimi nimemsikia LIVE. Amesema kuwa polisi "WALIPIZE KISASI KWA KUHAKIKISHA KUWA WANAWAKAMATA WALE WOTE AMBAO WAMEHUSIKA." Tafadhali musim-qupote vibaya.

After all, majeshi yetu yalivyojaa wasomi siku hizi unadhani kuna askari unaweza ukamwambia alipize kisasi na yeye akaondoka kichwa kichwa bila kuhoji kwa nini unamwambia hivyo? Siyo kweli hata kidogo!

Kumkamata muhalifu ni kulipiza kisasi au kazi yao? Mbona hakutoa amri hiyo kwa polisi alipopigwa na kuuawa Mwangosi asiye na hatia?

Kama kauli hiyo ni ndogo ambayo wasomi wataipuuza tu, mbona ile ya Dr.Slaa kwamba polisi waandae risasi za kutosha tuliambiwa ni kauli hatarishi ya uchochezi? Au ile waliokuwa wanaambiwa sio WASOMI?
 
Na mimi Saigon nashauri raia wema tuanze kwanza kulipiza kisasi kwa Polisi wote waliohusika na mauwaji ya raia wasiokuwa na hatia tukianza na Kamuhanda & Co.

Nimefurahishwa sana na kauli ya DCI Manumba huenda sasa Mitanzania mizezeta akili zinaweza kuwarudia kichwani.
 
Mbona huo uchungu alionao hatujausikia kwa matukio ya kina Mbwambo, (aliyekuwa M/kiti wa cdm usa river) Wenje, Kiwia, na Ulimboka? Au ndio kuna kundi la mamwinyi wenye haki zaidi katika nchi yetu?
 
Kuna uwezekano mkubwa sana wahusika halisi wasipatikane kabisa, ila raia wengine wasio na hatia watakamatwa na kuuwawa ili ku-sympathy situation.
Omba Mungu atakaye kamatwa usiwe wewe, ndugu yako, rafiki yako au jirani yako.


Nimekuelewa sana! Kwa ukweli wataumiza wasiohusika just kwa kulipiza kisasa!
 
Tatizo la polisi hufikiria kwamba hawana miili ya nyama. Kama wao wanajiandaa kuua sisi tunajiandaa kufa.
 
Mh ! nafikiri wakati wa kununua kitu kizito chenye ncha kali kwa ajili ya kujilinda umefika .
 
Hawa polisi wanafanya kazi kwa mdomo(siasa) hawana utaalam wa kazi yao. Hapo wanategemea vitisho ili wahalifu waanze kutajana.

Mwingine pia si alisema watawashirikisha na interpol!
 
Wametuua vya kutosha hawa polisi,yaliyotokea kwa barlow ni sauti ya wananchi kuchoshwa na ukatili wa jeshi la polisi,na kibaya zaidi wanatetea serikali ambayo hata wao wenyewe haiwajali,haiji akilini msiba mkubwa kama huu umetokea rais ndo kwanza anaondoka kwenda kupanda farasi oman,hili ni funzo kwa mapolisi kuwa wanayemtetea hana habari nao,endeleeni kujikomba mtapukutika mmoja mmoja mpaka mtakwisha,wananchi wameshaamua

HAPO UMETELEZA, Msiba mkubwa kwanini? si amekufa polisi yule anae saidi chama fulani kidumu madarakani wakati kinaelekea mochwari kwa tabia mbaya za viongozi wao? makanisa 30 yamechomwa hawajakamata mchomaji hata mmoja!!
 
Ukweli hatuna viongozi wala watendaji bali tuna kundi la wendawazimu wanaojua kuropoka kila wanapoona hadhira.

Kauli kama hizo katika tukio hili zimetolewa pia na Lukuvi, Nchimbi, Rubani.

Nchi yetu sasa ni ya visasi na sio kufuata sheria tena!!

Tena hawafikirii hiyo kauli wanaitoa wakati gan?
Juzi kauawa mwangosi na Polisi tena live kabisaa mchana kweupee
hawakutangaza kwamba waandishi walipe kisasi bali waliunda tume ambayo
matokeo yake mpaka leo hatujayaelewa!!

Kweli nimeshangazwa sana na kauli ya Manumba tena hadharani mbele ya kamera za waandishi..
 
Mi nadhani hali ya hatari inainyemelea TZ,
Mtu anaposema hadharani ni lazima walipe kisasi cha mauaji
Unatarajia nini kama sio wanaokusudiwa kulipwa kisasi hicho na wao kujiandaa na kisasi kingine
sasa visasi vikiongozana unadhani kitatokea nini..?
Kwanza kisasi huwa hakitangazwi hadhrani..

Manumba amekosa tofauti na waislam waliochoma makanisa kisa mtoto kakojolea Quran..
TZ ina endea kuwa nchi ya visasi, tena vya kiendawazimu kabisa!
 
HAPO UMETELEZA, Msiba mkubwa kwanini? si amekufa polisi yule anae saidi chama fulani kidumu madarakani wakati kinaelekea mochwari kwa tabia mbaya za viongozi wao? makanisa 30 yamechomwa hawajakamata mchomaji hata mmoja!!
Mkuu naomba utumie Avatar mojawapo kati ya hizo mbili, moja ni ya Israel na nyingine ni ya Jerusalem.

32114.jpg

israel_flag.jpg
 
Katka kile ambacho hata mm ckutarajia kukisikia kutoka kiongozi mkubwa kama Manumba n kauli yake ya jana wakati wa kukumuaga marehem Barlow kua watalipiza kisasi kwa yeyote aliyehusika!....

kama police wataanza kujichukulia sheria mkonon tena kwa kutanganza hadhari kuua raia n dhahiri kua hatuna viongoz wala sheria hazifuatwi tena hapa TZ

Maelezo yatafuata baadae hii bi safi sana kwani imetokana na mtu mwenye zamana Manumba .
 
Hawa ni wahuni tu...

Na wana ajenda ya siri..huenda wanataka kuwauwa viongozi wa CDM then wakasema ilihusika kwa namna fulani kufuatia kupigwa kwa wabunge wake huko mwanza!!!

Tujihadhari sana na majeshi yetu yamegeuka ya kijambazi!
 
Kauli hii ya manumba haionyeshi ukomavu wake kwenye kazi ni kauli hatari kwa usalama wa taifa haikupaswa kutolewa na mtu kama yeye kwani inajenga uadui angehimiza uchunguzi wa kisasa utumike kubaini wahalifu na si kulipiza .namuona kama mtu ambaye ameishiwa mbinu na ni dhahiri kwenye nafasi hiyo amepwaya .
 
Manumba umeona inavyouma kuua mtu jiulize polis wako wameua wangapi na je watu wangapi wameumia kama wewe kwa hiyo leo umetuonyosha kuwa mkuki kwa nguruwe kwa binadamu ....... kumbuka wananchi ni wengi kuliko polis ww mwenyewe unakaa uraian
 
Manumba katoa kauli hiyo kwa sababu anatambua RPC kauwawa katika tukio la kulipiza kisasi na sio uambazi. Polisi wana silaha kemkem na mabomu kama walivyomlipua Mwangosi, lakini ukimkuta polisi yuko peke yake ni mwoga kama mbwa koko na ndipo hapo fursa inapatikana ya kisasi. Hata yeye Manumba akipita kwenye anga za majita hatoki.......
 
Back
Top Bottom