Manny pacquiao vs juan marquez

...na tukumbuke kuwa hii ni mara ya tatu Pacman anapigana na Marquez (JMM)..wamedraw mara moja na hfight mbili zilizobaki fans are not convinced kama Pacman ameshinda (perhaps hata Pacman mwenyewe, no wonder they had these rematches)
 
...Wengi tunasoma comments za kwenye you tube; watu wengi wanamchikia mayweather, for no apparent reasons.....they never talk about his outstanding boxing skills, they purposely try to ignore his records and alays try tyo look what he didnt do well in a fight. lakini mabondia wote ambao watu walisema wangempiga waliishia kupigwa vibaya..na baada ya mchezo watu wanabadilisha maneno kuwa ohh, De la Hoya kapigwa umri umeenda, Oh..margarito kazeeka, ohh ricky Hatton hakuwa amewahi kukutana na bondiamkali..na juzi ortiz kuwa amepigwa wakati mchezo umesimama...sikiliza inteerview ya Ortiz; anakubali amepigwa. na hapa msikilize De La Hoya De La Hoya says Floyd Mayweather Will Destroy Pacqiuao - YouTube

Mayweather ni bondia mzuri sana lakini kuna chuki kubwa dhidi yake ambayo huwafanya wengi wasiuone uwezo mkubwa aliokuwa nao kama bondia.
 
yaani haya matokeo ya juzi yamenifanya nimdharau sana Pac-man.full mbeleko,kudadadeki!yaani left- overs za Money maywether zimekachapa ka-filipino ka watu vibaya vibaya!hate him kwa anavyojisifia,but unapaswa tu kutambua uwezo wa Floyd Maywether ulingoni aisee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom