RAJ PATEL JR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2010
- 743
- 169
Fake winnerScorecards: 114-114, 115-113, 116-112
Winner, by majority and still WBO champion of the world Manny Pacquiao!!
Fake winnerScorecards: 114-114, 115-113, 116-112
Winner, by majority and still WBO champion of the world Manny Pacquiao!!
I once said something about Pacman Vs. Moneyweather...
Sijaona pambano kwahiyo sina ujanja ila i am worried of coruption and impurities in boxing which is in fact my best sport. Nimeona kwenye link ya VIP sport wanavyotukana hadi nimechoka
I want Mayweather Pacman as soon as possible but it may not be very realistic
sad...
hizi ngumi nimecheck sijaridhika na maamuzi otherwise uniambie HBO walikuwa wana mipango ya kumuangusha MAN PAC kwani kila round ikiisha matokeo ya MAN PAC kuchezea mikono ya MARQUEZ ndo ilikwa inaonyeshwa!anyway all in all haka kaphilipino hakako ligi moja na MONEYWEATHER!.....poor game leo amecheza anaruhusu sana ngumi zimuingie na kila akirusha ngumi za kustukiza anachelewa kuweka guard!.............sijaona atayeharibu record ya MAYWEATHER!Ndugu yangu noma.
I wish ungecheki ngumi.
I once said something about Pacman Vs. Moneyweather...
Sijaona pambano kwahiyo sina ujanja ila i am worried of coruption and impurities in boxing which is in fact my best sport. Nimeona kwenye link ya VIP sport wanavyotukana hadi nimechoka
I want Mayweather Pacman as soon as possible but it may not be very realistic
Pacman naona alishinda kwa points.
...Ruta your wrong on this...easy fights unazozungumzia ni zipi? Fuatilia vizuri, pacman always anatafuta sifa kwa kupitia kwa Mayweather, bondia akishapigwa na Mayweather, yeye anaomba fight ; he beats "Myweather left overs" . Money alivyompiga Ricky Hatton, was that an easy fight? vipi alivyomtoa nishai Oscar De la Hoya? media haimpendi Money kwa sababu anajisifu sana; they aways wish for him to lose....if there is nothing wrong, kwanini pacman anakataa drug test? Dude came from nowhere...fuatilia rekodi yake wakati akina Money, De lahoya nk wanapigana amateur na Olympics yeye alikuwa wapi?remember money talks........................this was not a good performance from the champ.....................hope it was an invitation for Mayweather to jump in......................Mayweather loves easy fights.......................he may be tempted after this lackluster rendition from Manny.........
I once said something about Pacman Vs. Moneyweather...
Sijaona pambano kwahiyo sina ujanja ila i am worried of coruption and impurities in boxing which is in fact my best sport. Nimeona kwenye link ya VIP sport wanavyotukana hadi nimechoka
I want Mayweather Pacman as soon as possible but it may not be very realistic
...Marquez alishachezea kichapo siku nyingi kwa Mayweather...tazama linki hii HBO Boxing Classic: Mayweather vs. Marquez (2009) (HBO) - YouTube tazama statistics na sikiliza comments za mtangazaji....mabondia wengi huwa wanaonekana wazuri kabla ya kukutana na mayweather, lakini wakikutana huwa wanakuwa "uchochoro tu" hata huyu pacman akubali drug test apigane tuone!Nadhani wapigane Myweather na Marcuez tuone itakuwaje kwa sababu kwa jinsi koment nazoona jamaa pacman alibebwa na sio mara ya kwanza hata mara ya mwisho walipopigana hawa Pacman alibebwa tena!
Nadhani wapigane Myweather na Marcuez tuone itakuwaje kwa sababu kwa jinsi koment nazoona jamaa pacman alibebwa na sio mara ya kwanza hata mara ya mwisho walipopigana hawa Pacman alibebwa tena!