Manjonjo ya Dr Kimei wa CRDB!

Na haka kajamaa lazima huko mbeleni tuje tukahoji kuhusu issue ya EPA, asidhani tumesahau jinsi CRDB ilivyoshiriki katika kufanikisha dili la EPA. Watanganyika bado hatujamalizana nae huyu.


Mimi binafsi nahisi yeye pia amekula pesa nyingi tu ya EPA amasivyo asingeweza kujenga ma-appartments mengi na magari kadhaa ya kifahari. Ila ukweli ni kwamba yuko kwenye nafasi na nchi hii ni kula tu wacha afaidi ndo muda wake huu , CEO wa kudumu wa CRDB , aminia
 
Hayo ndio matunda na hatari ya mfumo kristo, misa? Na watumishi ambao sio waislam aliwaandalia maombi kutokana na imani yao? Yaani inasikitisha sana nenda pale crdb premier uone palivyopambwa kama kanisa la mt.joseph, yaani anaendesha utafikiri ni taasisi ya kanisa au ya kwake binafsi.
 
Hayo ndio matunda na hatari ya mfumo kristo, misa? Na watumishi ambao NI waislam aliwaandalia maombi kutokana na imani yao? Yaani inasikitisha sana nenda pale crdb premier uone palivyopambwa kama kanisa la mt.joseph, yaani anaendesha utafikiri ni taasisi ya kanisa au ya kwake binafsi. (SORRY NILIKOSEA HIYO COMMENT YA MWANZO. nA NASIKIWA KILA MWISHO WA MWAKA KUNA SEHEMU YA BONUS ITAKUWA INAPELEKWA KANISANI
 
Kama yaliyoandikwa ni kweli;

Then kuna tatizo kwenye hiyo taasisi; nadhani yapo makampuni mengi yanauwezo wa kufanya mikusanyiko kama hiyo lakini hawafanyi kwa sababu za kiusalama; huwezi safirisha wafanyakazi wote wa taasisi kubwa kama hiyo kwa kutumia mabarabara yenye ajali kila siku alafu uwapeleke kwenye sehemu moja: let alone kuna Al-shaabab alert (Tanzania Police Force & BOT how can you allow this); please someni kidogo about "business continuity and risk management:" this is against business continuity and risk management best practice.
Otherwise nawaombea shughuli njema na kwa kweli mwenyezi mungu awasaidie mfike Dar salama na kurudi majumbani mwenu na kwenye vituo vyenu vya kazi salama!!!
 
Doubt kama shareholders wako happy na hii kitu,matumizi ya pesa ya namna hii ni kutiana hasara bila sababu kwa shareholders,huyu kajisahau naona naamini soon watamwashia moto tuu wenye mali zao
 
Back
Top Bottom