Hakika kabisa ishu ya kusoma misa kanisani kwaajili ya taasisi ya watu mchanganyiko (kama benki) ni kituko cha aina yake, unless kama mleta mada amekosea au kuchanganya jambo hili, labda pia aliitwa shehe ili asome dwaa kukidhi upande wa pili wa dini![/QUOTE
hebu nikumbushe MV spice Islanders iliua waislamu peke yake?je ibada ya dini gani ilisomwa kuwazika marehemu?je kuna mtu wa upande wa pili aliyeinua mdomo kulalama?
mwenzetu huyu si ridhiki!!Wewe achana na fikra za kijinga hizo,nani kakwambia crdb ni mali ( benki ) ya umma? Kama wewe ni mfanyakazi na unaona ujatendewa haki basi mwaga wino. Upo hapo?
:hat:
mwenzetu huyu si ridhiki!!
Kama ni kweli Kimei kawaleta staffs wote wa crdb basi mjue kuna staffs wapya wa kike anataka kujitwalia kama King Mswati.
Wewe achana na fikra za kijinga hizo,nani kakwambia crdb ni mali ( benki ) ya umma? Kama wewe ni mfanyakazi na unaona ujatendewa haki basi mwaga wino. Upo hapo?
:hat:
Wewe achana na fikra za kijinga hizo,nani kakwambia crdb ni mali ( benki ) ya umma? Kama wewe ni mfanyakazi na unaona ujatendewa haki basi mwaga wino. Upo hapo?
:hat:
Acha mawazo ya kidini ndugu yangu, ukifikiria hivo basi unataka hata Rais, waziri, na wengineo wanapoenda ktk mikusanyiko ya dini wasitumie magari ya serikali bali watumie magari binafsi, achana na huo mtazamo sio mzuri. mbona makamu wa rais hutumia magari ya serikali kwa ajili ya kwenda msikitini jioni na ijumaa?
mbona hufikirii gharama anayoitoa huyu ndg Kimei kwa ajili ya kusafirisha hao wafanyakazi bali wewe umeng'anania misa tu? nafikiri toka hapo ulipo and start thinking positively. huoni gharama zinazotumiwa na CRDB kwenye family day kulipia vinywaji vyenye kilivi wewe umeona misa tu? acha hivo ndugu yangu........................
wascha afanye ni bank ya walutheri wa Denis ,Mbona waisla wameanzisha tawi hapa Dar na huo wanswali hujaandika Hilo.
Wewe naona unadam ya Udini sana,Na ushindwa katika Jina la YESU KRISTO
Ameendesha misa ya shukrani kwa Mungu baada ya CRDB kupata faida kubwa. Amealika wafanyakazi wa benki ya crdb toka nchi nzima kuja dar es salaaam kuhudhuria sherehe na misa ya leo, nauli na gharama za kukaa dar ni juu ya benki. Zaidi ya yote, kuanzia mwezi januari mwakani kila mfanyakazi atakuwa akipata 'bonus' ya sh 120,000/= kila mwezi.
Haka kanchi ni katamu sana ukikapatia!
Ndyoko, habari hii umeitoa wapi? Kwa namna ilivyokuwa, je ni sherehe ya kidini(shukrani) au ni sherehe ya kupongezana zaidi na hilo la misa (naamini ameomba kimei kama individual na sio crdb- i stand to be corrected!) labda ni by the way tu kwa sababu wahudhuriaji kwenye sherehe hiyo ya 'kupongezana' walikuwa dar?Ameendesha misa ya shukrani kwa Mungu baada ya CRDB kupata faida kubwa. Amealika wafanyakazi wa benki ya crdb toka nchi nzima kuja dar es salaaam kuhudhuria sherehe na misa ya leo, nauli na gharama za kukaa dar ni juu ya benki. Zaidi ya yote, kuanzia mwezi januari mwakani kila mfanyakazi atakuwa akipata 'bonus' ya sh 120,000/= kila mwezi.
Haka kanchi ni katamu sana ukikapatia!