Manji V/S orijino komedi!

Mabodi

New Member
Oct 11, 2011
1
0
Huyu jamaa (Manji) aliwagombanisha hawa vijana(Orijino Comedi, Masanja Mgandamizaji ) na mheshimiwa Mengi akawatoa Channel 5 kwa mbwembwe na trip ya UK na mishahara mizuri, hadi ikafikia hawa vijana (Comedians) wakawa wanamchana Mengi kwa kujiamini hata aibu hakuna!

Hapo siwalaumu sana, kwa uwezo wangu wa kuwatizama ninaamini ni ukosefu wa uelewa (Shule) na njaa! Kinachoniumiza ni yule kijana kuugua mda mrefu bila msaada wa Manji, mpaka amepewa msaada na Mr President! Sasa huyo Manji msaada wake uko wapi!

You peaple, you need to be smart, kama mwisho wenu umekaribia! Hawa jamaa wa jamii ya Asia, especially akina Manji wanapenda short-cut, kufanikisha interest zao bila siye kujitambua, maana mda wote tumetanguliza njaa mbele!

Mwenye taarifa na huyo kijana anaendeleaje kiafya atujuze wakuu! Inauma sana. Huyu jamaa ni miongoni mwa watu tunaotakiwa kuwarudisha kwao! Anapenda sana kutumia weakness zetu kujipatia hela (FISADI), Nikikumbuka issue ya NSSF yale Warehouse pale Ubungo!

Mabadiliko mhimu ili watu kama hawa tuwashughulikie! CCM lazima ipumzishwe, iende likizo kama siyo kufa kabisa ili tusafishe nchi na uozo huu! Nawakilisha hoja!
 
Hilo la kutukana kweli nimeliona na sijui kwa nini wanafanya hivyo haileti picha nzuri kwa jamii.
 
Hivi hicho kikundi, kati yao nani hajui habari ya eksitended family kiasi cha kubeza watu kukaa kwa mashemeji, mjomba, bamdogo, kaka, dada, mamkubwa, binamu, bibi, ndugu, mwanachama, mate, n.k?
 
huku nako ndio kuchanganyikiwa kwa Mr President, hivi kweli ni jukumu la rais kutoa matibabu kwa mtu mmoja mmoja au kwa kuwa according to our standards hawa noa ni ma celebrities? si angewajulisha tu kitengo cha maafa ya taifa kisichokua na kazi yoyote ya kufanya maana hata majanga yanaishia kuchangiwa na wafanyabiashara na mabenki, michango kwa wahanga wa mafuriko, wa mabomu, sasa hawa sijui tutawaita wahanga wa Manji ama ukata. It serves them right maana vijana tunapenda sana kutumiwa, after all sasa hata huelewi wanafanya nini, si hawa wala wakina bambo wa kule kwa mengi, ukiuliza kisa utachoka wewe
 
Hivi hicho kikundi, kati yao nani hajui habari ya eksitended family kiasi cha kubeza watu kukaa kwa mashemeji, mjomba, bamdogo, kaka, dada, mamkubwa, binamu, bibi, ndugu, mwanachama, mate, n.k?

Jiwe limekupata au kuna mtu unamtetea...extended family zetu za kitanzania ni kuwahifadhi wavivu tu. Juzi niliona taasisi moja ikitangaza matokeo ya utafiti wao yaliyoonyesha Zanzibar na Dar wanaongoza kwa kuwa na 52% ya watu tegemezi...
 
Hivi hawa jamaa bado wapo kweli? naona kama wamepoteza mvuto! Hawafanyi komedi tena ila kipindi cha matukio mbali mbali ya wiki nadhani na sio vichekesho. Hio ni laana ya kumkashifu Mengi hata kama ana ubaya fulani kiukweli aliwatoa kimaisha, nani asiewajua kama hata kuvaa wamejifunzia Ze Comedy? Kupishana lugha ni kawaida kibinadamu bt wasingemtukana yule mzee aliwakomboa.
 
Ingekuwa Vizuri kama ungetoa ushahidi wa kutosha katika suala la Manji hakusaidia ktk matibabu ktk vigezo aliombwa au hakuhusika kabisa. Manji ni m2 kama mtu mwingine hivyo acha kumchanganya na siasa maana kumsaidia mtu hata wewe unaweza kumsaidia.
 
Kweni mashirika kama yakina Manji hayatoi huduma ya matibabu kwa wafanyakazi wao?
 
Ingekuwa Vizuri kama ungetoa ushahidi wa kutosha katika suala la Manji hakusaidia ktk matibabu ktk vigezo aliombwa au hakuhusika kabisa. Manji ni m2 kama mtu mwingine hivyo acha kumchanganya na siasa maana kumsaidia mtu hata wewe unaweza kumsaidia.

Acha pumba hizo, manji has legal bound to discharge his duty.
 
Minawashangaa wanavo ponda extended family wakati nawao wametokea umoumo wamshukulu mengi. kuna mmoja alikuwa anakaa na dada yake pale!
 
Minawashangaa wanavo ponda extended family wakati nawao wametokea umoumo wamshukulu mengi. kuna mmoja alikuwa anakaa na dada yake pale!

hahaaa Masanja alikua muuza mitumba na alikua anakaa kwa Dada yake
 
Weee,mh umejivua gamba? Kibali chako cha kukaa tanzania kinaisha lini?kwanini usiende kwenu kwani ww una msaada gani kwa jamii ?au umechangia nini zaidi ya kutaka sifa?jamaani mmetunyonya vya kutosha kama ngombe sasa utakamua hadi damu.ifike mahali urudi nyumbani ,,kijana kaumwa hata shilingi imeonekana hukutoa kweli hayo ni maajabu ya dunia
 
Jiwe limekupata au kuna mtu unamtetea...extended family zetu za kitanzania ni kuwahifadhi wavivu tu. Juzi niliona taasisi moja ikitangaza matokeo ya utafiti wao yaliyoonyesha Zanzibar na Dar wanaongoza kwa kuwa na 52% ya watu tegemezi...

Nina kwangu na namshukuru Mungu nina wategemezi wa dhati ambao ni wanangu wenye stahili hiyo. Matumaini yangu u mmoja kati ya wachache wenye bahati mbaya ya kulea wavivu! Ninachokimaanisha ni tendo la hao wapuuzi wako kutojua maana ya extended family. Anyhow, sina mashaka na jina lako.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom