Manji kujenga uwanja wa kisasa wa Yanga

kazikubwa

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
597
145
Manji anatarajia kuweka heshima Jangwani kwa kuwajengea uwanja wenye thamani ya sh. 78 Bilioni. Utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji 45,000. Atajenga uwanja huo kama mchango wake kwa Yanga. Alitoa taarifa hizi kwenye kamati ya utendaji wakati akijenga hoja za kumfukuza kocha Seintieef pamoja na Mwesiga na Sendeu. Tunasubiri utekelezaji.
 
Pesa za EPA hizo. Mwizi sana huyo.
 
Za madawa , naona siku hizi mateja ni wengi hivyo uwezekann upo
 
Uwanja my foot.
Estadio de YussufAli como location de la Citicentre.
 
Camon guys, stori za smba na yanga haziishagi, mishahara ya wachzaji ishu itakua uwanja uwongo wa kjnga kweli
 
Manji anatarajia kuweka heshima Jangwani kwa kuwajengea uwanja wenye thamani ya sh. 78 Bilioni. Utakuwa na uwezo wa kuchukua watazamaji 45,000. Atajenga uwanja huo kama mchango wake kwa Yanga. Alitoa taarifa hizi kwenye kamati ya utendaji wakati akijenga hoja za kumfukuza kocha Seintieef pamoja na Mwesiga na Sendeu. Tunasubiri utekelezaji.

kwa ule unga anaouza na sheneji yake BObby pale Quality centre na Maz lazima ajenge uwanja...eti Nexus Consulting Agency kumbe ajenti wa kuuza unga ....
 
yahaya toure original angekue na akili kama yako sizani kama angelipwa hela nyingi hvo man city
 
Back
Top Bottom